Wikiendi hiyooo inaanza.

paka jimmy na paka mweusi achen utukunyuku wenu mi stak uchokoz
asi mnikonyeze na nynyi.najua mna makengeza lakin asi mna mikia?BASI NIKONYEZENI KWA KUTUMIA MIKIA!!!!!!1

Paka hawezi kukonyeza akitamani huwa anajiramba tu.Kwa mkia subiri jioni.
 
kaukau leo na maziwa fresh baba yenye tangawizi mana nina kikohoz kiduuuuuuchu!!!
mchana mlenda km vp njoo ujilambe!!!!!!
UNAJUA KULA MLENDA WEWE?
wa kigogo na wa bamia....?????

Unataleza bila shida kooni si unajua mimi msukuma,napenda kweli mlenda ila usiwe wa kigogo.
 
kaukau leo na maziwa fresh baba yenye tangawizi mana nina kikohoz kiduuuuuuchu!!!
mchana mlenda km vp njoo ujilambe!!!!!!
UNAJUA KULA MLENDA WEWE?
wa kigogo na wa bamia....?????

usisahau mabumunda bidada!!!!!!
 
Leo ama zao ama zetu lazima kieleweke.

Kamanda kwa heshima na taadhima naomba uniteulie humu JF binti wa kwenda nae pale Travertine kesho nasikia Wana wa Nakshi Naksi (JAHAZI) watakuwa pande hizo, ni kuchakachua kwenda mbele!!!!!!!!!
 
Kamanda kwa heshima na taadhima naomba uniteulie humu JF binti wa kwenda nae pale Travertine kesho nasikia Wana wa Nakshi Naksi (JAHAZI) watakuwa pande hizo, ni kuchakachua kwenda mbele!!!!!!!!!

Mkuu nashukuru kwa kunitunuku heshima hiyo nami kwa heshima na taadhima ninakuteulia da Sophy ila akikuficha usinilaumu mimi.
 
usisahau mabumunda bidada!!!!!!

dah wewe umenikumbusha mbaaaaaaaaali sana kuna wakati nilenda peramiho na lilambo kwa bib bas we mkienda kansani mnanunuliwa mabumunda mataamu na nkajifunza kupika najua kupika mabumunda ya ndizi dah u tk me looooooooooong long bak thaaaaaax bacha!!!
 
Mkuu nashukuru kwa kunitunuku heshima hiyo nami kwa heshima na taadhima ninakuteulia da Sophy ila akikuficha usinilaumu mimi.

Nimepata taarifa zisizo rasmi sana kuwa Da Sophy yupo gonjwa!Nina admit kuwa chaguo lako ni zuri, hebu nichekie mbadala wake!!!!!sorry kwa usumbufu kamanda
 
dah wewe umenikumbusha mbaaaaaaaaali sana kuna wakati nilenda peramiho na lilambo kwa bib bas we mkienda kansani mnanunuliwa mabumunda mataamu na nkajifunza kupika najua kupika mabumunda ya ndizi dah u tk me looooooooooong long bak thaaaaaax bacha!!!

kumbe we Rose unatokea kule kwa jomba nchumari,,,,,,,,!!!!!!! uchimungúnye wala uchiteme!!!!!!!!
 
Nimepata taarifa zisizo rasmi sana kuwa Da Sophy yupo gonjwa!Nina admit kuwa chaguo lako ni zuri, hebu nichekie mbadala wake!!!!!sorry kwa usumbufu kamanda

Bila samahani mkuu leo watu tuko kazini mpaka kieleweke,unamuonaje huyu anaye nibania jicho hapa kwenye PC yangu naona huyo atakufaa zaidi.
 
naona mnaklik wandugu bas ngoja niidisplay page....!!!!
mm macho yangu yana matatizo bwana yan nilikuwa bch ukooooooooooooooo na babu yenu bas katika kukuru kakaara mchanga ukaingia machon....
wknd wap ?sema bas toa venue km ni mzalendo kesho ,kwa mbowe,kwa jd,maisha?sansiro?sanaa?
mi kesho naenda kutukunyuka panapo mzalendo (usiku wa east afrika napenda swaga za ug)nkashake kila kitu vikidondoka ntaviokota bt today i hav to rest n tak time fo maself.....!!!!!
KM UKIKONYEZWA NA WEWE ASI UKONYEZE BABU AU UNA MAKENGEZA???????pole unalo ilo babu limekuganda......!!!!!!
Ndio nini mama?
paka jimmy na paka mweusi achen utukunyuku wenu mi stak uchokoz
asi mnikonyeze na nynyi.najua mna makengeza lakin asi mna mikia?BASI NIKONYEZENI KWA KUTUMIA MIKIA!!!!!!1
Mikia haikonyezi, bali hugusa na kuchungulia.....!
Siyo uchokozi, ana jicho moja
Nani mwenye jicho mbili?
kaukau leo na maziwa fresh baba yenye tangawizi mana nina kikohoz kiduuuuuuchu!!!
mchana mlenda km vp njoo ujilambe!!!!!!
UNAJUA KULA MLENDA WEWE?
wa kigogo na wa bamia....?????
Umefanya nini hadi hivyo?
nionge MKIA..we asi paka?m sure mkia upo
so nipe mkia i wl b okkkkkkkkkkkkkkkkkkk!!!!!
Basi mambo kwisha....! Na weekend ndio hiyoooooooo....!
 
kumbe we Rose unatokea kule kwa jomba nchumari,,,,,,,,!!!!!!! uchimungúnye wala uchiteme!!!!!!!!
mmh babu wewe peramiho,lilambo,likuyufusi,chabruma,luhuwiko siyo kwa njomba nchumari.....
kwa nchumar uko ntwara,masasi,newala,nachngwea,manaz mmoja,mchinga ................!!!!!!
 
Bila samahani mkuu leo watu tuko kazini mpaka kieleweke,unamuonaje huyu anaye nibania jicho hapa kwenye PC yangu naona huyo atakufaa zaidi.

asi unaona navyobana jicho?basi kila kitu nabana ivo ivo
ebu pten mbele uko...sina mkuki mie
apa stor tu malav dav kwenu!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom