Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Nimeshudia mabinti wengi hawavutiwi na nice guys kwanini??
Nimeshudia mabinti wengi hawavutiwi na nice guys kwanini??
Nimeshudia mabinti wengi hawavutiwi na nice guys kwanini??
Sijaelewa mfano wa hao bad boys unaowazungumzia hapa. Nifafanulie niweze kutoa mchango wangu!Nimeshudia mabinti wengi hawavutiwi na nice guys kwanini??
Very simple answer!!
Most of the guy you call Bad boys ...
They have the ability to express something which can be confused as Character, Courage , musculinity ,
... somehow they "look like" heroic!!
And these are supper qualities to attract any reasonable Girl!!
Most of the bad boys hawana pose kwny 6x6 game, wanawajibika ipasavyo na hawarembi kwenye game.
hawa ni player knw hw to talk the talk ,emotional intelligence bt wen it come to hs action thy arnt caring/sensitive n very rough ridin! Nice guy is perfect al th time bt is boring .so most girls go for tht which thy complain about most ,thats why they marry gud guy cheat their husb with bad boy why? tz ..,? huko nje eg Kanye west ,Goerge clooney... They can win over (****) your mom n grandmaSijaelewa mfano wa hao bad boys unaowazungumzia hapa. Nifafanulie niweze kutoa mchango wangu!
Si kweli.....the issue is Taste and preference.....si unaujua ule msemo wa ''huyu kwake sumu,yule kwake ni nyama....''Nimeshudia mabinti wengi hawavutiwi na nice guys kwanini??
Nipe mfano wa bad boy.
Jiulize mbona watoto wadogo wanapenda na mara nyingi wanawafuata ...watu kama jambamabzi jambazi hivi..?
unawajua players hao ndio badboyssijaelewa bad boyz kivipi????????????fafanua /dadavua please???????!!!!!!!!!! SURA,UMBO,TABIA,ONGEA,.............
Sio kwamba wanawaogopa, so inabidi wawapende kwa kuigiza? kitu ambacho sidhani kama ni sawa. Huu ni uoga wa kudhuriwa na Jambazi na sio kama wanawapenda.
No watoto wadogo wanawagundua kama mashujaa...(ingawa ni mashujaa wenye kasoro kidogonarudia wanawake wanataka mashujaa.. kuwalinda na to make them complete) niamini hata wanawake wanakuwa kama hao watoto .... !!
Nashukuru kwa ufafanuzi AJ, ingawaje bado sijakupata vema, ina mana mtu akiwa jambazi ni shujaa??? Mwanamke anagundua huyu mwanaume ni jambazi then anampenda hivyohivyo cz anamwona kama shujaa?? Sijaelewa!