Saikoloijia ya mapenzi

Iamwhoiamm

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
504
881
Kwenye saikolojia ya mapenzi wanaume na wanawake wanapenda tofauti wanaume wengi tunapenda mwanamke kwa muonekano ila wanawake wengi wanapenda wanaume kwa njia tofauti ,cha kwanza uwe unamvutia kihisia yaan bad boy ,

Pili muonekano ingawa ni wachache sana ndio maana unaweza ukawa na muonekano ila ukawa mr nice guy nafikiri mmeelewa ila wanawake wengi wanapenda watu ambao wana wapotezea hawana time nao na wana mambo yao ya msingi so bad boy haimaanishi kwamba ni muhuni ila njia anazopata mwanamke ni njia zakutokumjali sana mwanamke ....

Mr nice guy ni mwanaume anayemjali mwanamke kwa kila kitu lakini yeye mwisho wa siku ndio anakuwa fala ......Ata single mothers wengi wamezalishwa na bad boys ila waliwakataa mr nice guy iyo ndio saikolojia ya mapenzi ya mwanaume na mwanamke
 
Wanawake wanapenda Wanaume wahuni huo ndo ukweli angalia hata Wanaume wengi wenye akili wanawake hawawapendi ukiwa proper organized ni ngumu sana wanawake kukupenda in short wengi watu wastaarabu mapenzi yanawatesa
 
Kwa hiyo wanawake wanapenda hekaheka za wahuni kwenye mahusiano?
 
Basi ndio maana jamii inapotea sana. Hawa watoto wakike wanajifunzia wapi kutaka mapenzi ya watu wahuni?
 
kadr unavyohis unanza kuyaelw mapnz ndy unazd kuwa huyajui, unaeza kuw bad boy kujfny unapotezea dem nae akakupotezea mazma, unaeza kuw nice boy dem akakuona mshmba wakuja, yan kla dem hik anakitaka yule mwnzke hapend kun wnwke wnpend sna attention la sivyo anaona hujal wengne ukmpa too much attention anaona unamfatlia sna na unambana anakudump.....
CONCLUSION:the thing has got no formula prd!!
 
Iko wazi wanawake walio wengi sio wote wanapenda wahuni
 
kadr unavyohis unanza kuyaelw mapnz ndy unazd kuwa huyajui, unaeza kuw bad boy kujfny unapotezea dem nae akakupotezea mazma, unaeza kuw nice boy dem akakuona mshmba wakuja, yan kla dem hik anakitaka yule mwnzke hapend kun wnwke wnpend sna attention la sivyo anaona hujal wengne ukmpa too much attention anaona unamfatlia sna na unambana anakudump.....
CONCLUSION:the thing has got no formula prd!!
Nakazia hapa
 
WATU WENGI WAMESHINDWA KUELEWA MAANA YA NENO BAD BOY BAD BOY NI MWANAUME ANAYEMTEKA MWANAMKE KIHISIA NDIO MAANA WAZUNGU WANASEMA "MONEY CAN NOT BUY LOVE BUT IT CAN GIVE YOU HAPINESS" NI KWELI KWAIYO WANAUME WENZANGU MSITUMIE PESA KUPATA MWANAMKE TUMIA PESA YAKO KUWA NA FURAHA ZAKO MWENYEWE NA VITU AMBAVYO UNA PRIORITIES NAVYO MWANAMKE SAHIHI ATAKUJA TU LAKINI UKIWA NA MENTALITY KWAMBA PESA NDIO MAPENZI NI UONGO AND THAT'S REALITY MAPENZI NI HISIA SIO PESA UKIWA MJINGA UTAONGA MWANAMKE LAKINI UKIWA MWEREVU NAKUJITAMBUA UTA MHONGA MWANAMKE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom