Why Girls love bad boys?

Most of the bad boys hawana pose kwny 6x6 game, wanawajibika ipasavyo na hawarembi kwenye game.
 
Nimeshudia mabinti wengi hawavutiwi na nice guys kwanini??

Bad boys knows how to get any girl they want. Bad boys wanna attitude while at the same time anakupa feeling kua ukiwa nae ataku handle poa and atakuprotect na kua secure kwake. But as muchas girls wanapenda bad boys they eventually grow up to be ladies the discover and notice that the bad boy act is just a facade and the real man is the then nice boy - which is not bad cause you now really appreciate the nice guy you have.
 
Nimeshudia mabinti wengi hawavutiwi na nice guys kwanini??

Very simple answer!!

Most of the guy you call Bad boys ...

They have the ability to express something which can be confused as Character, Courage , musculinity ,
... somehow they "look like" heroic!!

And these are supper qualities to attract any reasonable Girl!!
 
Nipe mfano wa bad boy.

Sijaelewa mfano wa hao bad boys unaowazungumzia hapa. Nifafanulie niweze kutoa mchango wangu!
hawa ni player knw hw to talk the talk ,emotional intelligence bt wen it come to hs action thy arnt caring/sensitive n very rough ridin! Nice guy is perfect al th time bt is boring .so most girls go for tht which thy complain about most ,thats why they marry gud guy cheat their husb with bad boy why? tz ..,? huko nje eg Kanye west ,Goerge clooney... They can win over (****) your mom n grandma
 
sijaelewa bad boyz kivipi????????????fafanua /dadavua please???????!!!!!!!!!! SURA,UMBO,TABIA,ONGEA,.............
 
Sio kwamba wanawaogopa, so inabidi wawapende kwa kuigiza? kitu ambacho sidhani kama ni sawa. Huu ni uoga wa kudhuriwa na Jambazi na sio kama wanawapenda.

Jiulize mbona watoto wadogo wanapenda na mara nyingi wanawafuata ...watu kama jambamabzi jambazi hivi..?
 
Sio kwamba wanawaogopa, so inabidi wawapende kwa kuigiza? kitu ambacho sidhani kama ni sawa. Huu ni uoga wa kudhuriwa na Jambazi na sio kama wanawapenda.

No watoto wadogo wanawagundua kama mashujaa...(ingawa ni mashujaa wenye kasoro kidogonarudia wanawake wanataka mashujaa.. kuwalinda na to make them complete) niamini hata wanawake wanakuwa kama hao watoto .... !!
 
Nashukuru kwa ufafanuzi AJ, ingawaje bado sijakupata vema, ina mana mtu akiwa jambazi ni shujaa??? Mwanamke anagundua huyu mwanaume ni jambazi then anampenda hivyohivyo cz anamwona kama shujaa?? Sijaelewa!

Kinachotakiwa ni Real ushujaa usio ambatana na hali kama za ujumbazi ... si lazima ushujaa uendane na ujambazi kind of... nina maana hata mtu wa kawaida shujaa anavutia ..mwanamke mzuri...

Unachotaka wewe ni real sweet shujuaa .... lakini asipokuwepo akatokea anayefanania jambazi ...au kitu karibu na hicho what will be your choice!!
 
Sweetlady badboy hawa ni wanaume wanaonekana wana mvuto kwa nje ila hawakotayari kuofa sacrificial love,ni waongo, waoga wa comitment,thy expect a wmn to do most of givin while ignore her nids or takes advntge of her.ila wanawake mnawapenda sana na ndo aina ya man who lead to sex wmn?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom