sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Thanx Sl kwa ufafanuzi! Mimi binafsi siwapendi hao badboys. Napenda mtu mkweli, mwaminifu, anayejiamin n.k.
Sweetlady badboy hawa ni wanaume wanaonekana wana mvuto kwa nje ila hawakotayari kuofa sacrificial love,ni waongo, waoga wa comitment,thy expect a wmn to do most of givin while ignore her nids or takes advntge of her.ila wanawake mnawapenda sana na ndo aina ya man who lead to sex wmn?