Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,131
Wote huwa tunakosea gaga hata usipobadili tumekuelewa shosti, Infact ndoa ndivo zilivo hata hizi za njoo tuishi nazo hivohivo tu siku nyingine raha siku ingine karaha ili mradi siku zinaenda.... ila haya yote yanavumilika kama tu mpo na mapenzi ya kweli, yakiwa hayapo mwana wane ukibugudhiwa kidogo tu ni unatimua uvumilie nini sasa wakati humpendi? Nawashauri vijana wajiingize kwenye ndoa hasa hizi za milele wakiwa wamehakikisha kwamba wako kwenye love