Why did I get married?

Let me try to remember why........................Frankly speaking I don't remember the reason(s)...I don't...other than loving him, loving him and loving him.

I remember to just loving being by his side, laughing, consoling and share each and every moment with him. If only I could knew..........!
 
Nafurahi sana nikisikia mwanamke mwenzangu yuko happy na ndoa yake, na sio lazima ujiulize hili swali kama mambo yako yooooote ni tambarare dear... just enjoy your life mamito to the fullest
 
Gaga hili swali si kuwa sijawahijiuliza la hasha, na wala haikutokea mara moja au mbili, several but ukweli ni kuwa sikupata sababu ya kwa nini niliolewa.all i know ni kuwa I loved him to the extent ya kutaka kuwa karibu naye all the time for the rest of my life...............but yalipotokea ya kutokea nilijiuliza tu why did I get married to this person?!!

but maisha yanasonga mbele with all the good and bad memories ...........
 
Let me try to remember why........................Frankly speaking I don't remember the reason(s)...I don't...other than loving him, loving him and loving him.

I remember to just loving being by his side, laughing, consoling and share each and every moment with him. If only I could knew..........!

Umeanza............... am watching!
 
Jamani nilisema kama hamjanielewa mnyooshe mikono juu niwafafanulie........

Sijasema napenda kufanyiwa..........umejuaje kama yeye ndo anapenda kunifanyia?...........Ukweli ni kwamba huwa tunafanya wote.... Nanukuu "Hebu amkaga huko bana, kumeshakucha.....pandisha neti upande wa kule mi sifikii (kwa kudeka kidogo)....hebu vuta shuka upande huo....Jamani na hivi viatu ndo uliviwekaje? Hebu nisogezee hapa nivipange............." Mwisho wa kunukuu, na vitu kama hivyo.

Kama unahitaji ufafanuzi zaidi uliza nitakujibu.
Nimekuelewa kumbuka na mimi hapo bold nimebana pua
 
Gaga hili swali si kuwa sijawahijiuliza la hasha, na wala haikutokea mara moja au mbili, several but ukweli ni kuwa sikupata sababu ya kwa nini niliolewa.all i know ni kuwa I loved him to the extent ya kutaka kuwa karibu naye all the time for the rest of my life...............but yalipotokea ya kutokea nilijiuliza tu why did I get married to this person?!!

but maisha yanasonga mbele with all the good and bad memories ...........
Ooooh nimekuelewa sasa vizuri MwanajamiiOne nahisi nilisoma harakaharaka.... but kupenda na kupendwa kuna raha sana eeee
 
Nimekuelewa kumbuka na mimi hapo bold nimebana pua

Ewaaaaa........hiyo nayo ni sababu nyingine ya kwanini nilioa.....Napenda kudekewa........ afu huu ubanaji wa pua si ndo gia ya kuchuna?
 
Hahahaa nisamehe babu sirudi tena nilikuwa naulizia tu kama bibi alirudi kuku...gesha!

Aku.........mi kukoga nakoga mwenyewe, sema ye ananisaidia kusugua mgongoni....na dodoki lake .....akirembua tunafanya baba na mama huku tunakoga LOL
 
Ewaaaaa........hiyo nayo ni sababu nyingine ya kwanini nilioa.....Napenda kudekewa........ afu huu ubanaji wa pua si ndo gia ya kuchuna?
Hivi wanawake tunabana pua na wanaume huwa wanafany a nini maana kuna sauti fulani hivi za upole ambazo huwezi msikia akiongea mahali popote
 
Aku.........mi kukoga nakoga mwenyewe, sema ye ananisaidia kusugua mgongoni....na dodoki lake .....akirembua tunafanya baba na mama huku tunakoga LOL
Hahahahaha kujishaua na haya mambo chooni kuna siku nilidondokea pua tangu siku hiyo nimekoma
 
Hivi wanawake tunabana pua na wanaume huwa wanafany a nini maana kuna sauti fulani hivi za upole ambazo huwezi msikia akiongea mahali popote
My wife ananambia kuna besi flani hivi nikilitoaga, baioloji yake inaruka kichurachura

Hahahahaha kujishaua na haya mambo chooni kuna siku nilidondokea pua tangu siku hiyo nimekoma
Hahahaha.......huyo mmeo anafanya marathon bafuni? Hongera hukutenguka kiuno LOL
PHP:
 
waliobarikiwa ni wale wote walioitwa kuishi maisha ya ndoa na kusahau vyote vya nje (b4 marriage) unajua upeke peke nje ya ndoa is just like nyama ya mtu ambayo ukionja hutotamani kuacha...yaani unaweza kua na ndoa na baadae ukatafuta nyumba ndogo na ukiwa na nyumba ndogo bado utatamani tena ndogo zaidi...my take hapa ni kuamua kufa na tai yako shingoni! km kuna kitu ulisahau kupitia b4 ndoa laumu haraka zako na km kuna kitu unatamani kwenye ndoa ya mwenzako onya nafsi yako na funga ndoa yako!
 
My wife ananambia kuna besi flani hivi nikilitoaga, baioloji yake inaruka kichurachura

Hahahaha.......huyo mmeo anafanya marathon bafuni? Hongera hukutenguka kiuno LOL
PHP:
Hakuna kunastage bafuni lazima usimamie vidole na ukianza kutetemeka miguu kwa ..... hapo ndio shida Asprin si unajua mwanamke kulegea mwanaume .... embu niishie hapo kamba hatujawa moved
 
Na kweli, ngoja niwahi jukwaa la dini nikatubu dhambi zangu.
 
waliobarikiwa ni wale wote walioitwa kuishi maisha ya ndoa na kusahau vyote vya nje (b4 marriage) unajua upeke peke nje ya ndoa is just like nyama ya mtu ambayo ukionja hutotamani kuacha...yaani unaweza kua na ndoa na baadae ukatafuta nyumba ndogo na ukiwa na nyumba ndogo bado utatamani tena ndogo zaidi...my take hapa ni kuamua kufa na tai yako shingoni! km kuna kitu ulisahau kupitia b4 ndoa laumu haraka zako na km kuna kitu unatamani kwenye ndoa ya mwenzako onya nafsi yako na funga ndoa yako!
Natamani wote tungekuwa tunawaza kama wewe Horseshoe
 
Thanks Gaga... Frankly naona jinsi marafiki zangu wanavyoteseka na ndoa zao...mateso mengi ni ya kujitakia ilihali machache ni yale yasiyokwepeka...utakuta mtu anaamua kutoka na mkewe kwa lengo la kwenda kubadili mazingira....mtoko unaingia mdudu pale comparison zinapoanza mwanaume kumthaminisha wake/mke wa rafiki za/yake ilihali mke naye kwa wizi wizi akitupa jicho kwa waume wa wenzie...anyway ni jambo jema ila tujiulize swali jepesi,wakati mkifanya commitment mlishikiwa bunduki ama?? Nionavyo wajanja na ambao wakati haujawatupa mkono ni wale wanaoheshimu ndoa zao na kua na uthubutu wa kusimama mbele ya watu na kukiri, "jamanieee, huyu ndiye" Thus all!
 
Kwa kweli kama unafatilia kwa umakini namna hiyo mkeo hawezi pitia mateso yoyote, nakuombea kwa mungu uendelee na moyo huohuo na shetani akose nafasi kabisa, maana huyu huwa anawabadilisha wale wazuuuri sana wanakuwa wabaya kupitiliza hata wale ambao tuliwaona kama wabaya.
 
Binafsi katika maisha yangu ya ndoa kuna wakati najiuliza hili swali, ila ni pale napokuwa nimechukia sanasana na vitu fulani ambavo amenitenda....

Hapohapo kuna wakati najikuta nina furaha sana na ndoa yangu.....na pia kuna wakati najiona the lackiest woman to be married with him.. nikiangalia kids ndio kabisa nabakia speechless....Pia kuna wakati nahisi napendwa sana kupitiliza na wakati mwingine naona vice versa.... All in all maisha ndivyo yalivyo kila siku sio jumatano au mwaonaje wakuu?

Gaga,

We are all sailing on the same boat.

I have liked your thread! You have shown both sides of the coin, love and marriage is not all about happiness, but also sadness and the like.
I have gone through sleep less nights, sometime I am asking myself, why? then after two days all is over and naendelea.

The great marriage is not to find a right couple, but to fins out how to live with your partner!

Gaga, that is what you are doing!

Congratulations!
kwa kweli pia na mimi niliwaza hivi kaonyesha maisha sio kila siku tambarare kuna mabonde na milima na ukifika bondeni unatakiwa ushuke kwa akili mlimani upande kwa utaratiibu la sivyo kila saa utajikuta unateleza hufiki kileleni ili ushuke bonde tena mhh sijui nimeeleweka?
 
Back
Top Bottom