nazarius paul
Member
- Sep 10, 2009
- 10
- 0
Mwema ALISOMA na JK shule ya sekondari TANGA ufundi. Alipenda michezo, alikuwa kipa wa timu ya shule-footbal. Amefanya kazi polisi wa kimataifa-INTERPOL Narobi hadi 2005 alipoitwa na swahiba wake jk.
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.
Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.
Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
DSM RCO alikuwa na scandal za kuuwa na kuonea raia sana
Acha udictator wa kizamani..wanaochangia wote wanamchango fulani kuhusu post uliyorusha.We si umeuliza Mwema ni nani? Sasa limitation za nini katika michango yao? utaendea kula nyundo za kichwa sana ukilazimisha mawazo yako binafsi katika hii forum.
Mwenye CV ya aliekuwa mgombea mwenza wa Slaa jamani atuletee ilu tulinganishe na ya mwema...
My take:
Kuwa na hekima sio kuwa na elimu kama hivyo basi mababu zetu wasingekuwa na hekima. Na Mwema ni msikivu hapo awali alisifiwa sana hapa JF ila kwa yaliyotekea Arusha nasisitiza hakuna wa kuyafurahia ila yana ushawishi wa kisiasa zaidi. Katiba ndio suluhisho ya yote haya IGP hawezi kwenda kinyume na matakwa ya aliemteua! Au hii pia mnataka kuwa na degree kuijua?
IGP mwema zaidi ya elimu kama ilivyoelezwa, Nyumbani kwao ni Pale machame (Nkuu), jirani yake ni Mzee mengi. Mama yake ni mtu wa swala tano na eneo wanalioshi ndio eneo tu lililo na msikiti, pia nilipata kusikia kuwa Afande mwema yeye sio mchaga kwa maana ya mmachame bali ni mngazija ikielezwa kuwa baba yake alikuwa mngazija kutoka visiwa vya ngazija, mwenye kujua hili kwa ufasaha anaweza kutuhabarisha.
hana cv yuko pale kwa uislamu wake
huyu ndugu ni mtumishi wa umma.
Baadhi ya maamuzi afanyayo yamejikita kwenye hisia na fanatism kwa chama tawala badala ya misingi ya kisheria.
Ni wajibu, na haki yetu kumdadavua huyu ndugu yetu tufahamu alifikafikaje huko na pia kufahamu reasoning na judgement capacity yake imekaa vipi.
Waliosoma naye mtujuze tafadhali.
Ukiwa na hekima pia unaweza ukatumia hekima zako kumshauri hata boss wako kwa kumonyesha madhara ya analotaka kutenda faida na hasara. Sasa kama wewe ni yes tu na hata unamtia kitanzi boss wako mh ! kidogo hapa hekima inakosekana na ndio tunaanza kuangalia upande wa pili hekima ya kusomea vipi nayo?
IT = information technology hayo mambo ya kusomea komputersYap! IT is the shortform of InTelijensia!! lol
Wake wawili na watoto na mpole na msikivu sio re'sume.-Ameo wake wzaidi ya moja
-Ana watoto
-ni mpole
-Ni msikivu
Ni mwema kama lilivyo jina lake