rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Mke wake anaundugu wa damu na Mkuu wa Kaya,
mzee una uhakika kwenye hili?
Mke wake anaundugu wa damu na Mkuu wa Kaya,
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.
Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
soma heading inataka nini sio huu upupu.ndio maana mnafeli mtihani.
kama huna mchango we waache wengine wachangie!- Ni mwanaume- ni Mtanzania- Ni Inspekta Generali wa Jeshi la Polisi -Tanzania chini ya wizara ya mambo ya ndani- Amesoma LLB Chuo kikuu cha Dar es Salaam- Ameoa na ana watoto- Katika utendaji wake wa kazi yupo commited
mke wake yupi?, mdogo ni dada wa Adadi.Mke wake anaundugu wa damu na Mkuu wa Kaya,
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.
Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
Mtorii huo ndo ukweli..mzee una uhakika kwenye hili?
Acha rongorongo wewe, mkewe Halima aliyepata kuwa Woman Police (WP) ni ndugu wa damu na Kikwete. Inafahamika pia kwamba Bwana huyu ana wake kadhaa. Hata Interpol alikwenda kwa influence ya JK aliyekuwa wakati huo Waziri wa nchi za nje! Hata kama asingekuwepo wakati wa tukio la kuuwawa mahabusu wale bado kwa ethics za utawala bora alipaswa kujiuzulu ili uchunguzi huru na haki ufanyike; hili la ku brag ati alirejea toka likizo kusaidia kuwasaka waliotoroka haliingii akilini. Inawezekana alirudi kufunikafunika mapungufu yake maana nchi hii kama zilivyo nyingi za kiafrika hakuna cha ku take responsibility. Ni mtu wa visasi, hila, ukabila na udini uliopindukia kama ilivyowahi kulalamikiwa na vyombo vya habari mwaka uliopita. Ni mhimizaji wa utendaji kazi kiweledi lakini chini ya uongozi wake polisi na vyombo vya usalama vimetekeleza mauaji ya makumi ya raia wasio na hatia kuanzia Arusha, Musoma na sehemu kadhaa nchini kama ilivyobainishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe wiki iliyopita na ambayo aliitaka serikali iunde Tume Huru kuchunguza mauaji haya, jambo ambalo kamwe serikali ya kilaghai hii haitalitekeleza!Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.
Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
wakati mahabusu wanafariki mbeya, mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.
Hajaoa ndugu wa kikwete, mama yake khadija mwema hana undugu na kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
Miongoni mwa sehemu muhimu ya CV ni pamoja na kuonyesha uzoefu wa mtu katika kazi kupitia nafasi ( nyadhifa ) mbalimbali ambazo amewahi shika.Duh! Hicho ndio kipengele kipi cha CV ya Mwema? Birth date au place of domicile?
Haya "great thinker" :whoo: