Mshana Jr Na Bujibuji Simba Nyamaume ni mafundi wa Whatsapp GB, wanaweza wakakusaidiaNimeshangaa jion hii nafungua GB Whatsapp nakutana na hii msg! Nini hiki wadau?View attachment 2637210
Clear cache....,Nimeshangaa jion hii nafungua GB Whatsapp nakutana na hii msg! Nini hiki wadau?
View attachment 2637210
app ya kinaa sana, siku moja nafungua ikanifanyia kama hivyo, finally ikawa inanitaka nianze usajili mpya kwa kuweka namba nkNimeshangaa jion hii nafungua GB Whatsapp nakutana na hii msg! Nini hiki wadau?
View attachment 2637210
Nikiona mtu ameweka hii sijui Whatsapp GB namdharau balaa.Hizo ni app zinatumiwa na watu wanaopenda umbea, wana tabia za kiswahili swahili na watu wasiojielewa.
Sababu hasa ni nini?Nikiona mtu ameweka hii sijui Whatsapp GB namdharau balaa.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ni watu hawajitambui wana utoto. Mara kuficha last seen, mara kuweka grey tick, mara wafiche view ya status. Ni mradi tu wameamua kuleta misotojo.Sababu hasa ni nini?
Whatsapp ya wambeaNimeshangaa jion hii nafungua GB Whatsapp nakutana na hii msg! Nini hiki wadau?
View attachment 2637210
Whatsapp ya umbea hii, huwa nashangaa sana mtoto wa kiume akiwa nayo.Nikiona mtu ameweka hii sijui Whatsapp GB namdharau balaa.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Imekaa kindezi sana mtu akiwa nayo namuona bado anakua.Whatsapp ya umbea hii, huwa nashangaa sana mtoto wa kiume akiwa nayo.