WhatsApp GB imekumbwa na kitu gani?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,946
Nimeshangaa jion hii nafungua GB Whatsapp nakutana na hii msg! Nini hiki wadau?

Screenshot_2023-05-27-21-04-01-08_2768c6f3dd71c987876b7b9730ce2453.jpg
 
Nimeshangaa jion hii nafungua GB Whatsapp nakutana na hii msg! Nini hiki wadau?

View attachment 2637210
app ya kinaa sana, siku moja nafungua ikanifanyia kama hivyo, finally ikawa inanitaka nianze usajili mpya kwa kuweka namba nk

moment hiyo nilikuwa natumia akaunt hiyo kibiashara halafu ikabidi nianze upya na nipoteze baadhi ya taarifa


toka hapo, sijawahi na sina mpango wa hii kitu

natumia whatsap ya kawaida na whatsap business
 
Back
Top Bottom