Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,549
- 1,842
Aisee internet kiboko dunia imesimama kidogo maisha bila WhatsApp fikiria unamtumia mtu msg za kawaida na ni ishu ya haraka ila haujui kama yupo online au lah... Maisha bila WhatsApp na ig ni ukale wa kupitiliza fikiria biashara ngap zitayumba... Ila mwisho wa siku liwe funzo tulisahau websites tukazitupa kama kungekuwa kuna mastaa au kampuni kubwa zina websites wangeingiza pesa nyingi huko maana ndio uwanja uliobaki