Inasemekana Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa hacked na watu wasiojulikana hadi Mda huu Wafanyakazi wa Mitandao hiyo Wameshindwa kutatua tatizo hilo,

Duniani Kuna ma professional hackers hadi wameweza kuhack Apps zote kwa wakati mmoja hadi mdaa huu Mmiliki na wafanyakazi wameshindwa kutatua tatizo,
Inasemekana Kama Kuna wafanyakazi watabainika kuhusika na Kudukua Hizo Apps Watafukuzwa kazi

Kushutdown kwa Apps linaweza kuchukua Mda hadi kupatikana Solution

Poleni sana watumiaji wa mitandao kujitangaza na kuuza bidhaa zenu

Nilikosea instead of Hack nikaandika Huck
Inawezekana pia mambo ya covid tusubir tuone
 
TCRA wenyewe wamesemaje?
 
Back
Top Bottom