Ila hii yote ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi wetu wa kati. Angekuwepo Magufuli yasingetokea haya. Kidume kiliishinda korona itakuwa WhatsApp heheheheeeeeeee

Sisi ni dona kantre....
Katiba mpya inahitajika
 
Tatizo gani la dunia
Hili hapa
Screenshot_20211004-222946.jpg
 
Hii iwafungue macho Serikali waache kutegemea mitandao ya simu kukusanya kodi. Hivi vitu vinafeli muda wowote. Serikeli itegemee na kutumia miundombinu iliyoanzishwa na serekali na kudhibitiwa na serekali. Siyo kudandia dandia. Toka saa 12 jioni mpaka sasa serikali ingekuwa imepoteza kiasi gani cha tozo za Insta???
 
Back
Top Bottom