Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
ku-huck ndo kufanyaje???
Gap between front teethHivi Mwanya kwa kidhungu inaitwaje Kokutona?
ku-huck ndo kufanyaje???
Ndo Jamaa utajiri wake umeshuka kwa 16 trillion za kitanzania sawa na 7 billion dollarInasemekana Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa hacked na watu wasiojulikana hadi Mda huu Wafanyakazi wa Mitandao hiyo Wameshindwa kutatua tatizo hilo,
Duniani Kuna ma professional hackers hadi wameweza kuhack Apps zote kwa wakati mmoja hadi mdaa huu Mmiliki na wafanyakazi wameshindwa kutatua tatizo,
Inasemekana Kama Kuna wafanyakazi watabainika kuhusika na Kudukua Hizo Apps Watafukuzwa kazi
Kushutdown kwa Apps linaweza kuchukua Mda hadi kupatikana Solution
Poleni sana watumiaji wa mitandao kujitangaza na kuuza bidhaa zenu
Nilikosea instead of Hack nikaandika Huck
Aisee watu mnaboko za hatari!!Hiki kingereza ni cha kusoma au cha kujifunza? (ras Simba) nk
Siku za karibuni serikali ya China imewakalia kooni makampuni makubwa ya teknolojia kuondoa monopoly za dizaini hii. Naanza kuwaelewa wana waepusha raia wao na mambo gani mbeleni.Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake
Hiki kingereza ni cha kusomea au ni utundu tu?Same here it could not to retry
Ilichukua muda mrefu kama mara hiii?Wenye kumbumumbu hili la wasap kupotea limejirudia kuna mwaka walileta mawenge hivi hivi