Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,971
- 22,163
Dont give up;
whatever situation your in.whatever challenges are;dont know god knows
just know every situation you pass is the way of god correction
aijalishi unamatatizo kiasi gani nakupa uhakika leooooo leooooooooo read this
matatizo yako yataondoka usikate tamaa ..akuna kuta tamaa mungu yupo anakuona na anasikia kilio chako..yawezekana umehangaika sana na wanga kuoa ama kuolewa..yawezekana kwenue mna spirit ya rejection kila unapopata mwenza wako anafikia stage ya mwisho anachapa lapa...hayo sio mapenzi ya mungu kabisa kabisa
leo nasema leoooooooo siitaji pesa yako naitaji imani yakoooooo naomba kwa ajili ya watu najua wewe mmoja wapo
naomba usiache kusali na wala usikate tamaaaaaaaaa mungu yupo...yeye ni yule jana na leo na hata milele yuko alive
godbless you !!