The Only Man I ever met in my Lifetime so far

Maria Nyedetse

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
657
1,485
Habari za Asunuhi wanajukwaa,,

Natamani kushare nanyi kisa cha kweli huenda tukajifunza mengi kutokana na kisa hiki. Kisa hiki ni story ya kweli inayomhusu my beloved Cousin na kijana moja kutoka mkoani Singida.

It is very interesting story with a lot of heartbreaks... they loved one another so much lakini kila moja alimpenda mwenzake kwa namna tofauti na moja hakuwahi kuelewa mahitaji na interest za mwenzake na matokeo yake ameishia kumlaumu hadi leo....

At first nilimchukia sana huyu kijana nikiamini alimtesa sana my cousin cause she loved him so much and I thought was a one sided love but I was totally wrong... But know as I grow I come to realise that the Guy was the best Man I ever mate, Naumia sana sikuweza kumtendea wema katika nyakati zote tulizokutana lakini amenifundisha somo ambalo daima litabaki katika akili yangu na moyo wangu....... Very painful and sad reality. Ni story ndefu spinning for almost seven years kutoka 2005 hadi early 2012 or late 2011.

Nitajaribu kadri nitakavyoweza kufupisha story hii lakini pia naomba kutumia majina ambayo siyo halisi kuepuka kuingilia privacy na maisha binafsi ya kila moja lakini pia kuepusha usumbufu utakaoweza kujitokeza. Aidha naomba kutumia majina ambayo siyo halisia ili kutowaweka huru wahusika... the rest will be as it is labda some few snarios.

My Cousin nitatumia jina la Rehema na yule kijana nitatumia jina la Ibrahim

My Cousin ni mtu wa Mkoa wa Mara kwa maana ya wazazi wake lakini yeye amezaliwa na kukulia Dar Es Salaam jiji lenye vituko na vitimbi vyake… In short is a very gorgeous and adoring person at tender age ukiachilia sasa alikuwa ni mwenye mwili mwembamba kiasi, mrefu wa wastani, mweupe, mwenye dimples mashavuni na mwenya na mwenye meno meupe, kwa hakika she is lady any man can be proud of.

On other her then Man alikuwa ni kijana handsome sana Mweupe, mrefu wa wastani, mwenye mwili wa wastani na Uso wa kisomali na pua iliyochongoka well. Alikuwa ni mtu mpole na mkimya aliyependa sana kusoma na kuongea machache kwa hoja. Lakini ambapo now I came to realise He had a clear perfect picture of his own future life and He believed in his own ideas. Some soothing that I think my Cousin never understood na ndicho ambacho naamini ndiyo msingi wa lawana zake kwake….

My Cousin drop out of school because of Financial challenges hivyo my uncle akaamu kumpleka sehemu moja one of the famous suburb in Dar es Salaam City kujifunza ufundi Cherehani yaani kushona nguo. Katika jengo hilo kulikuwa na duka kwa mbele na mmiliki wa kituo hicho cha cherehani had another business ambayo mafundi nguo walihusika kwenye ya stages ya hiyo biashara yake hivyo kujipatia kipato kwani aliwalipa kwa huduma yao ya ushonaji. Aidha kwenye hiyo biashara nyingine alikuwepo huyu Ibrahim……. As my cousin, Ibrahim was form three droup out because of reasons ambazo sizifahamu vizuri lakini ambacho naweza kusema he was a gift guy yaani ana akili au uwezo mkubwa kiakili… najua utaniuliza why nasema hivyo lakini utaelewa mbele ya safari usikate tamaa.

Ibrahim Alikuwa mkimya sana na muda wote alifanya kazi zake kwa bidi na kama hana kazi alijisomea vitabu mbalimbali na hakupenda kuongea sana na watu. Rehema akatokea kumpenda sana Ibrahim lakini Ibrahim never thought or Imagined that… Wakati huo Ibrahim alikuwa around 19 na Rehema was around 16 or 17… Akaanza kumfanyia vituko mtoto wa watu kama utani ili kumweka karibu, Idea ambayo iligonga mwamba, akamnunuliwa zawadi something that fall into a deaf ear…. Akaanza kumkasirikia wakati mwingine bila sababu something that made the guy to realise buildup of situation around him….. Kijana wa watu akasurrender kwa kutii matakwa ya bibiye (kwa wakati huo hakuna uhusiano rasmi) yaani matakwa kama kumsindikiza stendi au hata kumsindikiza mpaka akishuka kituoni kwao kijana na watu anapanda gari kurudi kwao kwani walikuwa wanaenda Opposite sides…..

Siku moja My Cousin akamtaka aje atutembelee nyumbani one weekend lakini Ibrahim akakataa, My Cousin akamwambia kama huji nitakuja mimi kwani my Cousin aliwahi kufika nyumbani kwa bosi ambako ndipo alikuwa anakaa Ibrahim… Ibrahim akidhani mwenzake anatania kumbe anamaanisha hivyo bila kutarajia that Sunday Rehema akatinga nyumbani kwa bosi na kumkuta Ibrahim akiwa na madogo kwani wazee walikuwa wametoka kidogo… akakaa mpaka jioni baadaye akimlazimisha Ibrahim kumsindikiza mpaka stendi a bit far na Ibrahim akakubali

To cut story, mwisho wa siku binti alifunguka kuwa she needed him in her life na kutokana na shinikizo Ibrahim akakubali lakini kwa condition kuwa they will touch one another mpaka watakapofanikiwa kuungana kisheria. Jambo moja liliwatofautisha ni kuwa Ibrahim was from a very conservative Muslim Family (I think kutokana na tabia nay ale niliyosimuliwa kuhusu yeye) na my Cousin was raised in Modern Evangelical Christian family willing to give up her faith in favour of the guy. Kutokana na malezi yao walitofautiana sana namna kila moja alivyompenda mwenzake……. Ibrahim akawa anakuja nyumbani baadhi ya weekend mara nyingi kwa shinikizo la My Cousin na alituletea zawadi za hapa na pale na kila mara My Cousin alimlazimisha wapige picha za pamoja something He accepted kwa shingo upande….

Siku zilienda mapenzi yakanawiri lakini muda wote nilihisi ni one sided love kwani mara nyingi My Cousin ndiye aliyeinitiate Ibrahim kuja na kweli alimpenda sana Ibrahim…. Nikaanza kumchukia kwa sababu nilihisi anamtesa My cousin kwa kumpenda kwake, kitu nisichokijua ni kuwa Ibrahim truly Loved my cousin lakini he needed her to change and align with his requirements something my cousin never real worked on… What I came to realise later ni kuwa Ibrahim pictured to marry a devoted Muslim lady and raise a conservative Muslim family…..

Jamani naomba nikiri kitu ambacho najua wengi watashangaa.. wakati wanaanza mahusiano my Cousin alikuwa Sealed yaani bikira hakuwahi kuguswa na mwanaume yoyote na alikuwa tayari kufanya lolote kwa Ibrahim lakini pamoja na kuujua ukweli huu Ibrahim likataa kataa kukutana naye kimwili… kitu hiki kilinifanya nijiulize sana maswali mengi… nikaja kugundua kuwa the Guy believed deep in his heart kufanya mapenzi before marriage is a grave sin, lakini pia his conservative muslim family won’t accept my Cousin in her current state hivyo asingependa kumharibia her future ikiwa atabaki hivyo na cha ajabu Zaidi his family won’t accept a child born out of a wedlock… he would later admit to me no matter the situation he would marry my Cousin ikiwa tu atakidhi vigezo na sii vinginevyo na hatakaa amguse yaani kushiriki naye ngono….. najua utashangaa lakini huo ndiyo ukweli japo unashangaza…

Time passed, My Cousin alimwahidi Ibrahim she will be a Muslim lady and will adhere to all Muslim standards. Although she meant it, she never took even a single step towards that direction na Ibrahim aliendelea kumpa Muda bila kumlazimisha kufanya hivyo…. Hapa later I came to realise kulikuwa na tatizo….

My Cousin believed his man loved her the way she is ingawa alifahamu vigezo vya Ibrahim na alimwahidi kubadilika kufutana na hivyo vigezo na ibrahim alidhani mwenzake anafahamu alichotakiwa kufanya ndiyo maana hakumlazimisha. Lakini pia My cousin hakujua urefu wa safari mpaka kufikia ndoa ukilinganisha na umri wao ingawa mwenzake alifahamu fika the journey is a bit far ahead and is of roughs and terrain. Baada ya muda I think was Mach, 2006 my cousin akamaliza mafunzo na mahusiano yakaendelea vile na baadaye kidogo tukasikia the guy decided to drop work na kuamua kurudi shule yaani to sit for Form four exam as a private Candidate… According to my Cousin jamaa alikuwa analipwa more than 120,000.00 kwa mwezi hiyo 2005.

Baadhi ya matukio ni masilimulizi kutoka kwa my Cousin, mazungumzo yangu na jamaa na mengine ni uelewa wangu kutokana na uhalisia ulivyokuwa unatokea…. Wakati huo nilikuwa nasoma one of the best schools at that time in the city na nilienda na kurudishwa jioni na my Cousin was my faourite friend hivyo mengi niliyafahamu…

Baada ya jamaa kuanza shule mawasiliano yalibaki ya simu tu na sehemu walikokuwa wanakaa wakahama hivyo My Cousin hakupajua tena. Baadaye tukasikia from his friend jamaa yupo advance my akalazimisha nimsindikize one day mpaka ilipo shule apate kuonana na jamaa.. kutokana na kumpenda sana my cousin nilikubali ila nilimchukia sana jamaa kwa sababu niliamini anamtesa dada yangu.. kipindi kile nilikuwa nyumbani hivyo nikakubali tukaenda mpaka eneo husika kwani tuliambiwa sare anayovaa bila kuifahamu shule…
 
Nakumbuka baada ya long search nakuulizia tukafanikiwa kufika mpaka shuleni, I was a bit magnificient school… tufika getini na mlinzi akatufunguliwa lakini baada ya kumweleza haja yetu tulikuja kumsalimia moja ya wanafunzi ambaye baada ya kumtajia jina hakuonesha kumfahamu lakini akatuambiwa kwa sababu ni mwanafunzi wa kutwa na ni muda wa masomo tutalazimika kumsubiri nje mpaka watakapotoka na sii vinginevyo… I felt like Oooh My God what hell is this!!!!! Just a shit put me into sunny waiting for Him??? Lakini kwa sababu ya My Cousin sikuwa na namna nililazimika kusubiri somewhere close na shule miserably kama vibaka… Jamani haya maisha nyie acheni tu……. Nikikaa huwa najiona mjinga, nakasirika na wakati mwingine nacheka mwenye kwa ujinga huu niliopitishwa na binamu yangu…. Tulisubiri mpaka around saa tisa toka saa tano ndipo jamaa akatoka kwenye geti la shule…. Akiwa na mwenzake well-dressed na begi lake la shule hakuamini macho yake kutuona pale, alibaki kama aliyepigwa na shoti ya umeme…. Good thing My Cousin akimwona tu huyu jamaa hasira zake zooote ziliisha na kujawa na furaha, nilitamani ampige bonge la mkwara lakini akiishia kujawa na furaha baada ya kumwona her shit… Nilikasirika lakini sikuwa na cha kufanya….

Jamaa akasema doing all these? Akajitetea kuwa sasa hivi yuko busy na shule, hana simu tena na asingeweza kuja mara kwa mara kwa sababu kwa sasa anategemea hela ya shule tu anayopewa na sii kama zamani he had his own cash…… Wakaongea baada ya muda mfupi akatuomba turudi nyumbani yeye angekuja kututembelea….

Kweli he stand on his words the next weekend he made a call kuwa alitamani sana kuja lakini amebanwa na some issues za shule… the next weekednd My Cousin akalazimisha tumfuate kwa sababu tulielekwa kwao nakokaa sasa hivi unfortunately wakati sisi tunaenda kwao yeye alipanda gari kuja kwetu…. Maana nyumbani kwetu na nyumbani kwa my Cousin zilikuwa karibu sana na mara nyingi walikutania kwetu.. tulipofika kwao tukamcheki mdogo wake ambaye wakati huo alikuwa na simu akatuambia brother amekuja kwetu… we thought anatudanganya lakini ndiyo ulikuwa ukweli kwani baadaye dada yetu wa kazi called na akatuambia shemeji amekuja kutusalimia…. I felt real furious!!!! Nilitamani nimchane live my Cousin lakini asingeweza kunielewa kuhusu huyu jamaa… My Cousin thought may be because she naver offered Him her ------------ hivyo ndiyo maana jamaa kama anazingua, akaamua kumfungulia jama mlango wa kucheza na mwili wake atakavyo lakini jamaa akakataa offer claiming that hakumpenda my Cousin kwa sababu ya kumchezea, what he needs is her to be the best of character and be patient mpaka watakapofunga ndoa…. This real shocked me to the core of my nerves Wakati huo mimi mwenyewe ilikuwa tayari jamaa yangu alishachana mkeka lakini My Cousin was still sealed Yaani Virgin na jamaa yake hakuwa tayari kumchezea…. Ni maajabu lakini amini usiamini yapo…..

Maisha yakasonga jamaa akamaliza Advance wakapotezana tena baada ya jamaa his family kuhama na mdogo wake akiwa our only link akawa hana simu au kubadili namba na jamaa hakumtafuta My Cousin tena….. Baadaye nilikuja kujua kuwa the reason is that my Cousin never taken even a single step kuendana na matakwa ya jamaa kama kuwa not only muslim but a devoted one, she remained church attendant na nguo zetu za kileo ukipita mtaani watu wanageuka… vitu vilivyokuwa very contra to Ibrahim’s standards na nahisi upendo wake kwa my Cousin uligeuka kutoka mapenzi ya mwenza hadi kuwa kama little sister kwake kwani hakuwahi kumshawishi jamaa kuwa ni wife and mother material to his future kids…..

Baada ya muda My Cousin akanaswa na kija moja graduate kutoka Saint Augustine University akaahidiwa kuolewa na maupendo kibao mpaka akagawa uroda… kumbuka wakati huo bado akili yake ipo kwa Ibrahim…. Baada ya muda akaamua kuachana na Saint Augustine University guy kwa sababu alikuja kugundua siyo mwaminifu na alikuwa anamchezea tu…. Sasa juhudi na matumaini ya kumtafuta Ibarahim yaliendelea kuwa hai… Mwaka 2010 katika pitapita za mjini akakutana na rafiki yake Ibrahim.. My Cousin was so delighted and ray of hope to meet Ibrahim was more than reality….. Jamaa akamweleza kuwa Ibrahim passed A-level exam with a Colorful grades (Division I Kali) na amefanikiwa kudahiliwa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (Mlimani) in one of the best degree program na alikuwa anaishi Hostel za Mabibo ingawa kwa sasa hawako karibu sana kama zamani na namba zake hana ila akamwahidi kumtafutia… Kwa sababu wakati huo na mimi nilikuwa busy na my High School studies sikuweza tena kumpa company My Cousin kwenye mishe zake hivyo akaamua mwenye kufunga safari mpaka mabibo hostel… Hundreds of residents Block A mpaka F hakuweza kumpata Ibrahim na kila aliyemuuliza hakumfahamu…. My Cousin akafanya more than one attempt hakufanikiwa n ahata alipoamua kwenye main compus ndiyo kabisa kulimchanganya hakuweza kumpata Ibrahim. Siku zikapita na muda ukayoyoma, it is now 2011. Siku moja Ibrahim akakutana na jamaa yake na kupata taarifa za kutafutwa na bibiye mpaka chuo, jamaa alikuwa too shocked… akachukua namba za My cousin na akaamua atamtafuta.

Siku moja jioni bibiye akiwa hana hili wala lile simu ikaingia na ni namba ngeni. Bibiye akaipokea na ile kuitia halo sauti ambayo muda wote imeutesa moyo wake ikagonga kwenye ngoma za masikio yake, kwenye ubongo wake hadi kwenye moyo wake…. My poor Cousin almost collapsed, she trembled and fall short of words. It is real Ibrahim… Only one word uttered out of my cousin’s “I need to see you Ibrahim”

Jamaa akamwahidi asiwe na haraka ameamua kumtafuta baada ya kupokea ujumbe wake kutoka kwa jamaa yake hivyo avute subira Yeye mwenyewe atakuja kumtembelea na haina sababu kwa bibiye kuhangaika… Jamani what followed was even more painful than hata hayo yaliyopita

Jumamosi moja tulivu Ibrahim aliahidi kuja kumtembelea My Cousin hivyo my Cousin was very unsettled, aliona kama muda haufiki kumwona Ibrahim wake… Muda ulizidi kuyoyoma na mishale ya saa 10 jioni Ibrahim alitinga nyumbani baada ya kwanza kupitia msikitini kuswali sala ya saa kumi (wanaoifahamu watanirekebisha). Baada ya kumwona I was shocked, the guy is unchanged very polite, calm, composed and very simple always used to be… I thought baada ya kuingia Chuo kikuu tena mlimani niliamini atakuwa amebadilika na kuwa kama vijana wengi tunavyowafahamu…. Baada ya salamu nyingi akataka wapate muda wa kuongea na bibiye… Ibrahim katika kipindi chote nilichomfahamu hapendi kwenda na wala kukaa sehemu za baa au kunakouzwa vileo hivyo wakatafuta eneo muda tulivu wakaenda kukaa na sisi tukasubiri yatakayojiri… it was very painful day in my Cousin’s life and will always remain so…

Baada ya salamu na kubadilishana mawili matatu with my Cousin paying for two sodas, Ibrahim akataka kujua maisha yameendaje muda wote walipokuwa mbali na mbaya Zaidi alimkuta akiwa amevaa nguo zake zilezile za siku zote with no any sign ya kubadilika na kualign na standard za Ibrahim kama ambavyo alimhakikishia Ibrahim she will change… Akamuuliza je yupo vile vile kama alivyomwacha? Yaani ni bikira bado au vinginevyo? Akiwa amejawa na machozi My Cousin akakiri kuwa she is no longer a virgin tayari alishafanywa na mwingine…. Ibrahim was devastated with this. It is very sad reality kuwa Ibrahim alimpa My cousin Muda wa kubadilika lakini my Cousin aliamini angebadilika baada ya kuolewa…. Ibrahim alimfariji wa My cousin kwa kule kumwamini mtu mwingine na hatimaye kujikuta ametumika yaani kugawa uroda lakini pia akamweka wazi kuwa He won’t move on with this relationship kwa factor kuu mbili;-

Moja ni my cousin kuruhusu mtu mwingine moyoni mwake hata kama ilikuwa ni temporary limemvunjia heshima kwani muda wote alimheshimu my Cousin hakutaka bikira yake ivunje out of wedlock bahati mbaya my Cousin hakulithamini hilo na hakuthamini utu wake kiasi kwamba anatoa mwili wake kwa mtu ambaye hana uhakika na future yao pamoja.

Mbili ni kuwa my cousin hakuwahi kumwelewa ni familia gani anatamani kuijenga maishani ndiyo maana pamoja na kumwahidi kubadilika lakini mavazi yamebaki yale yale, matendo n ahata Imani yake vitu ambavyo haviwezi kuwafanya wakawa pamoja wakiwa na maisha ya furaha. My Cousin was devastated and almost fainted. My cousin alilia sana tena mbele za watu, Ibrahim consoled her bila mafanikio na kuamua kumchukua na kutembea naye somewhere else na kukaa mpaka karibu saa moja bila mafanikio. Mwisho wa siku akamomba akaswali then atarejea. Kweli alienda kuswahili na kurejea, baada ya mazungumzo marefu aliahidi kuendelea kumfariji bibiye mpaka atakapopata mtu mwingine ila hayuko tayari kuendelea na mahusiano. Waliachana lakini my cousin alimlaumu sana na kuahidi kutomsamehe na kwa hakika tulimuunga mkono katika hilo. Mawasiliano yaliendelea na kila mara walipoongea My Cousin alimlaum sana Ibrahim na taratibu mawasiliano yao yalizidi kuwa madogo na hatimaye kuisha kabisa.

Ta first nilimlaumu sana Ibrahim for what He did to my sister but as I grow up nazidi kuvutika na kuamini Ibrahim was a real man that stood for his words, He never used my sister kutuliza hisia zake za kingono kama wanaume wengi walivyo ila dada yangu bahati mbaya kwake hakuwahi kumwelewa na aliishia kumpenda kibubusa….. Mpaka mara ya mwisho niliongea naye aliniambia alimpenda sana dada yangu lakini alifahamu fika katika mazingira alivyo my cousin kama wangeingia kwenye ndoa wangeishia kuteseka/kutesana na dada yangu asingeweza kukubaliwa kwake…. Which I believe ingekuwa kweli ngumu kwao na kujenga familia ambayo aliitamani. I wish my cousin could have understood this guy today I could have been with such a grate In-Law.

Sasa hivi tunavyoongea my cousin is married with normal life and I don’t know much about Ibrahim, I heared He is married with a wonderful family residing somewhere in the Southern Highland Where is working with a wonderful post….

Kama utapata kusoma uzi huu my beloved brother inlaw tambua kwamba I truly love and appreciate your true love and your unshakeable stand… natamani ningekuelewa those days huenda ningemsaidia my Cousin na leo tungekuwa na mtu makini sana kwenye familia kama shemeji na mkwe. Live long, deliver much to the community you’re saving and country as a whole. I see you somewhere on the top posts of this Country one day. Kwa hakika if all men could be true and humble as you’re, this country and world could have been a paradise…..

Shemeji yako nimekuwa mkubwa siku hizi name nina wonderful familia Thanks GOD. Kila siku na kila mara nimeona tofauti kati ya wanaume wengi na wewe jinsi ulivyo…… I salute you brother, natamani kuwaona wale waliokuzaa na kukulea hivyo, I hope they are very accomplishing parents.
 
Mh!. A true love is never being determined by the denial to sex before marriage.

The truth is, the so called Ibrahim never loved your cousin.

If he did, then your sister couldn't be the only one to go for search.

If he did, he couldn't have never left your cousin out of no communication.

Kumhukumu kwa sababu hana tena usichana wake ni sababu dhaifu..

Wapo wapenzi wengi wamekutana bila ya mwanamke kuwa na bikra na sasa wana familia nzuri zenye neema mno.

Mama mshauri Karucee unasemaje??
 
It's a nice story,nimefatilia hadi mwisho, nimependa misimamo ya Ibrahim ila kuhusu imani tofauti, kumbadilisha mtu imani yake ya dini fulani eti ili mradi apate kitu fulani kama ndoa nk, naona kama ni mateso na utumwa hivi, nadhani hilo halikutakiwa kuwa kikwazo sana kwa Ibrahim muhimu ni upendo tu.

Ni kama Ibrahim hakumpenda cousin Rehema hivi, na sababu kuu ikiwa ni utofauti wa dini.
 
Staha haihitaji dini! Huenda Rehema angekua ni mdada anaejisitiri na kushika dini yake, huenda asingeyumbishwa na kutaka kuhama dini na uhusiano ungekufa mapema tu zamani zile. Ila ndio hivo Rehema alifocus sana kwenye malavidavi na kusahau kua ndoa inahitajia kushika dini pia.
 
Ibrahim hakunpenda ndg yako,
Hizo nyingine ni sababu tu za kujihami
Nakumbuka baada ya long search nakuulizia tukafanikiwa kufika mpaka shuleni, I was a bit magnificient school… tufika getini na mlinzi akatufunguliwa lakini baada ya kumweleza haja yetu tulikuja kumsalimia moja ya wanafunzi ambaye baada ya kumtajia jina hakuonesha kumfahamu lakini akatuambiwa kwa sababu ni mwanafunzi wa kutwa na ni muda wa masomo tutalazimika kumsubiri nje mpaka watakapotoka na sii vinginevyo… I felt like Oooh My God what hell is this!!!!! Just a shit put me into sunny waiting for Him??? Lakini kwa sababu ya My Cousin sikuwa na namna nililazimika kusubiri somewhere close na shule miserably kama vibaka… Jamani haya maisha nyie acheni tu……. Nikikaa huwa najiona mjinga, nakasirika na wakati mwingine nacheka mwenye kwa ujinga huu niliopitishwa na binamu yangu…. Tulisubiri mpaka around saa tisa toka saa tano ndipo jamaa akatoka kwenye geti la shule…. Akiwa na mwenzake well-dressed na begi lake la shule hakuamini macho yake kutuona pale, alibaki kama aliyepigwa na shoti ya umeme…. Good thing My Cousin akimwona tu huyu jamaa hasira zake zooote ziliisha na kujawa na furaha, nilitamani ampige bonge la mkwara lakini akiishia kujawa na furaha baada ya kumwona her shit… Nilikasirika lakini sikuwa na cha kufanya….

Jamaa akasema doing all these? Akajitetea kuwa sasa hivi yuko busy na shule, hana simu tena na asingeweza kuja mara kwa mara kwa sababu kwa sasa anategemea hela ya shule tu anayopewa na sii kama zamani he had his own cash…… Wakaongea baada ya muda mfupi akatuomba turudi nyumbani yeye angekuja kututembelea….

Kweli he stand on his words the next weekend he made a call kuwa alitamani sana kuja lakini amebanwa na some issues za shule… the next weekednd My Cousin akalazimisha tumfuate kwa sababu tulielekwa kwao nakokaa sasa hivi unfortunately wakati sisi tunaenda kwao yeye alipanda gari kuja kwetu…. Maana nyumbani kwetu na nyumbani kwa my Cousin zilikuwa karibu sana na mara nyingi walikutania kwetu.. tulipofika kwao tukamcheki mdogo wake ambaye wakati huo alikuwa na simu akatuambia brother amekuja kwetu… we thought anatudanganya lakini ndiyo ulikuwa ukweli kwani baadaye dada yetu wa kazi called na akatuambia shemeji amekuja kutusalimia…. I felt real furious!!!! Nilitamani nimchane live my Cousin lakini asingeweza kunielewa kuhusu huyu jamaa… My Cousin thought may be because she naver offered Him her ------------ hivyo ndiyo maana jamaa kama anazingua, akaamua kumfungulia jama mlango wa kucheza na mwili wake atakavyo lakini jamaa akakataa offer claiming that hakumpenda my Cousin kwa sababu ya kumchezea, what he needs is her to be the best of character and be patient mpaka watakapofunga ndoa…. This real shocked me to the core of my nerves Wakati huo mimi mwenyewe ilikuwa tayari jamaa yangu alishachana mkeka lakini My Cousin was still sealed Yaani Virgin na jamaa yake hakuwa tayari kumchezea…. Ni maajabu lakini amini usiamini yapo…..

Maisha yakasonga jamaa akamaliza Advance wakapotezana tena baada ya jamaa his family kuhama na mdogo wake akiwa our only link akawa hana simu au kubadili namba na jamaa hakumtafuta My Cousin tena….. Baadaye nilikuja kujua kuwa the reason is that my Cousin never taken even a single step kuendana na matakwa ya jamaa kama kuwa not only muslim but a devoted one, she remained church attendant na nguo zetu za kileo ukipita mtaani watu wanageuka… vitu vilivyokuwa very contra to Ibrahim’s standards na nahisi upendo wake kwa my Cousin uligeuka kutoka mapenzi ya mwenza hadi kuwa kama little sister kwake kwani hakuwahi kumshawishi jamaa kuwa ni wife and mother material to his future kids…..

Baada ya muda My Cousin akanaswa na kija moja graduate kutoka Saint Augustine University akaahidiwa kuolewa na maupendo kibao mpaka akagawa uroda… kumbuka wakati huo bado akili yake ipo kwa Ibrahim…. Baada ya muda akaamua kuachana na Saint Augustine University guy kwa sababu alikuja kugundua siyo mwaminifu na alikuwa anamchezea tu…. Sasa juhudi na matumaini ya kumtafuta Ibarahim yaliendelea kuwa hai… Mwaka 2010 katika pitapita za mjini akakutana na rafiki yake Ibrahim.. My Cousin was so delighted and ray of hope to meet Ibrahim was more than reality….. Jamaa akamweleza kuwa Ibrahim passed A-level exam with a Colorful grades (Division I Kali) na amefanikiwa kudahiliwa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (Mlimani) in one of the best degree program na alikuwa anaishi Hostel za Mabibo ingawa kwa sasa hawako karibu sana kama zamani na namba zake hana ila akamwahidi kumtafutia… Kwa sababu wakati huo na mimi nilikuwa busy na my High School studies sikuweza tena kumpa company My Cousin kwenye mishe zake hivyo akaamua mwenye kufunga safari mpaka mabibo hostel… Hundreds of residents Block A mpaka F hakuweza kumpata Ibrahim na kila aliyemuuliza hakumfahamu…. My Cousin akafanya more than one attempt hakufanikiwa n ahata alipoamua kwenye main compus ndiyo kabisa kulimchanganya hakuweza kumpata Ibrahim. Siku zikapita na muda ukayoyoma, it is now 2011. Siku moja Ibrahim akakutana na jamaa yake na kupata taarifa za kutafutwa na bibiye mpaka chuo, jamaa alikuwa too shocked… akachukua namba za My cousin na akaamua atamtafuta.

Siku moja jioni bibiye akiwa hana hili wala lile simu ikaingia na ni namba ngeni. Bibiye akaipokea na ile kuitia halo sauti ambayo muda wote imeutesa moyo wake ikagonga kwenye ngoma za masikio yake, kwenye ubongo wake hadi kwenye moyo wake…. My poor Cousin almost collapsed, she trembled and fall short of words. It is real Ibrahim… Only one word uttered out of my cousin’s “I need to see you Ibrahim”

Jamaa akamwahidi asiwe na haraka ameamua kumtafuta baada ya kupokea ujumbe wake kutoka kwa jamaa yake hivyo avute subira Yeye mwenyewe atakuja kumtembelea na haina sababu kwa bibiye kuhangaika… Jamani what followed was even more painful than hata hayo yaliyopita

Jumamosi moja tulivu Ibrahim aliahidi kuja kumtembelea My Cousin hivyo my Cousin was very unsettled, aliona kama muda haufiki kumwona Ibrahim wake… Muda ulizidi kuyoyoma na mishale ya saa 10 jioni Ibrahim alitinga nyumbani baada ya kwanza kupitia msikitini kuswali sala ya saa kumi (wanaoifahamu watanirekebisha). Baada ya kumwona I was shocked, the guy is unchanged very polite, calm, composed and very simple always used to be… I thought baada ya kuingia Chuo kikuu tena mlimani niliamini atakuwa amebadilika na kuwa kama vijana wengi tunavyowafahamu…. Baada ya salamu nyingi akataka wapate muda wa kuongea na bibiye… Ibrahim katika kipindi chote nilichomfahamu hapendi kwenda na wala kukaa sehemu za baa au kunakouzwa vileo hivyo wakatafuta eneo muda tulivu wakaenda kukaa na sisi tukasubiri yatakayojiri… it was very painful day in my Cousin’s life and will always remain so…

Baada ya salamu na kubadilishana mawili matatu with my Cousin paying for two sodas, Ibrahim akataka kujua maisha yameendaje muda wote walipokuwa mbali na mbaya Zaidi alimkuta akiwa amevaa nguo zake zilezile za siku zote with no any sign ya kubadilika na kualign na standard za Ibrahim kama ambavyo alimhakikishia Ibrahim she will change… Akamuuliza je yupo vile vile kama alivyomwacha? Yaani ni bikira bado au vinginevyo? Akiwa amejawa na machozi My Cousin akakiri kuwa she is no longer a virgin tayari alishafanywa na mwingine…. Ibrahim was devastated with this. It is very sad reality kuwa Ibrahim alimpa My cousin Muda wa kubadilika lakini my Cousin aliamini angebadilika baada ya kuolewa…. Ibrahim alimfariji wa My cousin kwa kule kumwamini mtu mwingine na hatimaye kujikuta ametumika yaani kugawa uroda lakini pia akamweka wazi kuwa He won’t move on with this relationship kwa factor kuu mbili;-

Moja ni my cousin kuruhusu mtu mwingine moyoni mwake hata kama ilikuwa ni temporary limemvunjia heshima kwani muda wote alimheshimu my Cousin hakutaka bikira yake ivunje out of wedlock bahati mbaya my Cousin hakulithamini hilo na hakuthamini utu wake kiasi kwamba anatoa mwili wake kwa mtu ambaye hana uhakika na future yao pamoja.

Mbili ni kuwa my cousin hakuwahi kumwelewa ni familia gani anatamani kuijenga maishani ndiyo maana pamoja na kumwahidi kubadilika lakini mavazi yamebaki yale yale, matendo n ahata Imani yake vitu ambavyo haviwezi kuwafanya wakawa pamoja wakiwa na maisha ya furaha. My Cousin was devastated and almost fainted. My cousin alilia sana tena mbele za watu, Ibrahim consoled her bila mafanikio na kuamua kumchukua na kutembea naye somewhere else na kukaa mpaka karibu saa moja bila mafanikio. Mwisho wa siku akamomba akaswali then atarejea. Kweli alienda kuswahili na kurejea, baada ya mazungumzo marefu aliahidi kuendelea kumfariji bibiye mpaka atakapopata mtu mwingine ila hayuko tayari kuendelea na mahusiano. Waliachana lakini my cousin alimlaumu sana na kuahidi kutomsamehe na kwa hakika tulimuunga mkono katika hilo. Mawasiliano yaliendelea na kila mara walipoongea My Cousin alimlaum sana Ibrahim na taratibu mawasiliano yao yalizidi kuwa madogo na hatimaye kuisha kabisa.

Ta first nilimlaumu sana Ibrahim for what He did to my sister but as I grow up nazidi kuvutika na kuamini Ibrahim was a real man that stood for his words, He never used my sister kutuliza hisia zake za kingono kama wanaume wengi walivyo ila dada yangu bahati mbaya kwake hakuwahi kumwelewa na aliishia kumpenda kibubusa….. Mpaka mara ya mwisho niliongea naye aliniambia alimpenda sana dada yangu lakini alifahamu fika katika mazingira alivyo my cousin kama wangeingia kwenye ndoa wangeishia kuteseka/kutesana na dada yangu asingeweza kukubaliwa kwake…. Which I believe ingekuwa kweli ngumu kwao na kujenga familia ambayo aliitamani. I wish my cousin could have understood this guy today I could have been with such a grate In-Law.

Sasa hivi tunavyoongea my cousin is married with normal life and I don’t know much about Ibrahim, I heared He is married with a wonderful family residing somewhere in the Southern Highland Where is working with a wonderful post….

Kama utapata kusoma uzi huu my beloved brother inlaw tambua kwamba I truly love and appreciate your true love and your unshakeable stand… natamani ningekuelewa those days huenda ningemsaidia my Cousin na leo tungekuwa na mtu makini sana kwenye familia kama shemeji na mkwe. Live long, deliver much to the community you’re saving and country as a whole. I see you somewhere on the top posts of this Country one day. Kwa hakika if all men could be true and humble as you’re, this country and world could have been a paradise…..

Shemeji yako nimekuwa mkubwa siku hizi name nina wonderful familia Thanks GOD. Kila siku na kila mara nimeona tofauti kati ya wanaume wengi na wewe jinsi ulivyo…… I salute you brother, natamani kuwaona wale waliokuzaa na kukulea hivyo, I hope they are very accomplishing parents
 
ibra alikuwa bize na harakati za maisha ajawai kumpenda cousin wetu hata kidogo

kwanza kabisa, true love never die. since day one tunaona Cousin kampambania sana ibra kutengeneza connection,
cousin ame initiate love
cousin amempeleka ibra home
cousin amefata ibra shule (advance)
cousin anatafuta ibra chuo
cousin anakutana na ibra tena lakin kwa effort yake mwenyewe😥😥 hapo ibra ametulia tu, come on ibraaa!

cousin alipoteza bikra kwasababu ya ushawishi tu wa baharia mmoja lakin truly alimpenda ibra
cousin kupoteza bikra sio kigezo cha shekh ibraa kumuacha cousin wetu,
na kigezo cha dini na mienendo ya cousin ibra kama alimpenda kweli basi angekuwa ana muelekeza cousin wetu jinsi ya kuvaa na mengine wakati wapo kwenye mausiano

inshort shekh ibraa ajaonesha juhudi zozote kwenye kutetea mapenzi yake na cousin wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom