Never give up bring it on

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
348
847
KAMWE USIKATE TAMAA, DAIMA SONGA MBELE.

Na.Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Wednesday-16/02/2022
Marangu, Kilimanjaro, Tanzania

....."Never give up bring it on"...

Yes, ni never give up, bring it on, ni nyimbo ya P square ambayo wamemshirikisha Dave Scott, nyimbo hiyo inaitwa "Bring it on", nyimbo hii ni moja ya nyimbo nayoipenda sana kuisikiliza mara kwa mara, kuipenda kwake ni kutokana na ujumbe mzito iliyobeba.

Kutokana na kuipenda nyimbo hii imenifanya kutafakari mambo mengi Sana katika dunia hii hasa katika dhana ya "Mafanikio ya kimaisha".

Hapa namanisha katika suala zima la kutusua katika maisha, jambo ambalo wengi sana upata wakati mgumu kuweza kusimama kifua mbele mpaka pale ambapo maisha yanakuwa sawa.

Labda nianze hivi.

Ngoja nikurejeshe kwenye maudhui ya nyimbo yenyewe, ndani ya nyimbo hiyo P square akiwa ameshirikiana na gwiji la muziki kutoka Uingereza Dave Scott wanazungumzia suala la kutokata tamaa, dhana hii ya "kutokata tamaa na kuhakikisha unasonga mbele" yani (never give up bring it on) hii inamaana kubwa sana katika ulingo wa maisha.

Sasa turejee kwenye nyimbo yenyewe.

Kwenye kiitikio cha nyimbo hiyo ndio kumebeba maana nzima ya nyimbo hiyo, P square wanasema.... "I don't care who you are, Where you from or what you do, Just as long as you chasing money Do what's right never give up on it, Bring it on bring it on Are you ready unu ready, No matter how you try don't you ever fall, Keep your head up high, And standing tall Bring it on bring it on, Are you ready unu ready, No matter how you try don't you ever fall, Keep your head up high, And standing tall, And rising rising rising".

Najua kuna wale wenzangu na Mimi wanaweza wasielewe hiyo lugha ya malikia, ngoja niweke na tafsiri ya kiswahili ili ujumbe huu umfikie hata mama ntilie wa Gongolamboto, au machinga wa Karume, najuwa wapo wajane wengi pale soko la Mbuyuni Moshi ambao wanastahili haki ya kutiwa moyo kutokana na soko lao kuteketea kwa moto.

Rafiki yangu Sara wa soko la Mwenge alivunjika moyo kwa hasara aliyoipata kwa mtaji wake kuteketea kwa moto baada ya kukopa Bank na kupoteza kila kitu baada ya soko la mwenge kuungua, halafu hili la masoko kuungua kila siku sio bure kuna jambo! Loh! Ngoja tuliachie hili maana mshika mawili moja umponyoka.

Sasa turejee kwenye tafsiri.

Kwa heshima ya watu hawa nitatoa tafsiri isiyo rasmi ya kiswahili ya kiitikio cha nyimbo hiyo....

Kiitikio kinasema.... "Usijali wewe ni nani, Unatoka wapi au unafanya nini, Ilimradi tu unatafuta pesa, Fanya lililo sahihi na usikate tamaa, songa mbele, Haijalishi utajaribu mara ngapi, Kamwe usiruhusu kuanguka, Nyanyua kichwa chako juu, Na usimame kidete, songa mbele, Hata kama umejaribu mara ngapi usikubali kuanguka, Inua kichwa chako juu, Na usimame kifua mbele, huku ukisonga mbele.... ukiinuka".

Mpaka hapa najua umeelewa ni kwanini naipenda nyimbo hii, ukweli usio pingika ni kwamba maudhui makubwa ya nyimbo hii ni kutupa hamasa ya kupambana katika utafutaji katika maisha.

Hapa namanisha kwamba "๐—ง๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐˜‡๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜„๐—ฒ" huu ndio ukweli, Shida zipo jukumu letu ni kutafuta Raha yani maisha mazuri ndio maana P Square katuhamasisha "Tusikate tamaa tusonge mbele".

Ukweli ni kwamba Maisha sio mepesi, kila kitu ni kigumu, hakuna kitu chepesi duniani, kikubwa tu usikate tamaa, mpaka ufanikiwe hakuna uwepesi, Lazima iwe ngumu ili wawenayo wachache, usikubali kuwa kwenye kundi la wengi walio kubali kushindwa.

Usiogope changamoto, Furahia ulicho nacho wakati unapambania unachotaka, usikate tamaa kamwe ata jangwa linaweza kukuza mmea, hapa sasa najua unalewa vizuri ni kwanini P square alisema Never give up bring it on.

Pamoja na kwamba Mafanikio ya Mtu yeyote hutegemea mambo matatu ambayo ni Karama yake, Kadri yake na Kudra ya Mungu", bado unapaswa kuto kata tamaa, kwasababu Karama" unaweza kurithi, "Kadri" iko ndani yako, ni kufanya maamuzi sahihi, "Kudra" ni Mungu au nguvu ya ziada nje ya uelewa wa binaadamu.

Ndio maana wahenga husema "Mwanaume tafuta Pesa ili Mwanamke asipo kupenda wewe apende Pesa zako", mantiki ya maneno haya ni kupigia mstari suala la Never give up Bring it on (usikate tamaa Songa mbele).

Sasa basi....

Vijana wengi tunatafuta hela katika umri wa kuzitumia, ndio maana tunaishia kuwa machawa ikitokea umezikosa ilimradi tu uonekana na wewe upo duniani, tumesahau ule msemo usemao "Inagharimu Pesa nyingi kujifanya unapesa".

"Usikatishwe tamaa na watu, katika maisha ni jukumu lako kupambana, pambana songa mbele watu wasikuvunje moyo wala kukukatisha tamaa kwasababu hakuna mtu anaeweza Kuzuia Mtu Kufa Siku ya Kifo chake Ikifika, Hivyo Hivyo Katika Mafanikio Hakuna Mtu Anaweza Kuzuia Usifanikiwe Siku Ya Mafanikio Yako Ikifika, hivyo bring it on.

Hivyo basi......

Tafuta Pesa, kujua taarifa za watu ni umasikini tu, Tajiri hana kumbukumbu, Kamwe usiruhusu kuanguka, nyanyuka usimame kidete, songa mbele brother's and sister's never give up bring it on.

Sasa nisikuache bure, ngoja nikupe faida, siri pekee ya kupata pesa ni kupigwa kazi, yani kuchakarika, unapochakarika hakikisha kanuni kuu ni kutokukata tamaa, Kama unataka kununua vitu bila kuangalia Bei, Fanya kazi bila kuangalia Saa.

Maisha hayana shot cut ndugu, unapaswa kufanya kazi kwa bidii, kuwa muaminifu, muombe Mungu na kutokukata tamaa, maisha yanaitaji usmart.

Unapo kuwa kwenye utafutaji hakikisha hizi kanuni mbili ndio zinakuwa muogozo wako, ambazo ni
1- "USIMUAMINI YOYOTE"
2- "HAKIKISHA USISAHAU KANUNI NAMBA MOJA"

Unajua Kwanini nasema hili? OK ni kwasababu katika maisha hata marafiki zako kuna kipimo cha mafanikio wamekuwekea ukivuka tu wanapanic na kukuchukia.

Hivyo Sasa......

Kazi kwako, never give up, Mwenye akili hutatua matatizo, mwenye busara huzuia matatizo yasitokee.

Maana katika maisha uhakika pekee wa kufanikiwa ni kutokata tamaa na kufanya kazi kwa bidii, na ukipata kuwa na nidhamu kwa kila kitu.

Kwanza changamsha sana akili unapokuwa huna kitu, alafu tuliza sana akili unapopata pesa hata kama ni kidogo, pesa ni sumaku inavuta vingi inahitaji kutulia sana kutenganisha vya maana na pumba.

"Maana akili ya kuondokana na umasikini ni kuweza kuhamisha pesa zilizopo kwenye akili yako na kuzipeleka kwenye mikono yako.

Nimeongea mengi sana mpaka Nimetoka kwenye reli, sijui hata naeleza nini!..... Ok yote ya yote hapa namanisha hata iweje usikate tamaa.

Maana kukata tamaa ndio kikwazo kikubwa cha kufikia mafanikio, never give up bring it on brothers, never give up bring it on sisters.

Never give up bring it on.....

Kwa kupata makala Zaidi wasiliana na Mimi WhatsApp 0679555526 uungwe group la Maktaba Kuu kwa gharama ya Tsh 3000/=.

Ukinakili kazi zangu kumbuka kufanya acknowledgment.
Wako Mjoli wa Historia na diplomasia ya ulimwengu.

Ndimi: Comred Mbwana Allyamtu
Copyrights of this article reserved
written by Comred Mbwana Allyamtu

Kwa Tanzania
+255679555526 (WhatsApp).
+255765026057.

Kwa
Email- mbwanaallyamtu990@gmail.com

Copyright 2022, All Rights Reserved.

Maktaba Kuu.
IMG_20220216_214046.jpg
 
Labda nianze hivi......

Ngoja nikurejeshe kwenye maudhui ya nyimbo yenyewe, ndani ya nyimbo hiyo P square akiwa ameshirikiana na gwiji la muziki kutoka Uingereza Dave Scott wanazungumzia suala la kutokata tamaa, dhana hii ya "kutokata tamaa na kuhakikisha unasonga mbele" yani (never give up bring it on) hii inamaana kubwa sana katika ulingo wa maisha.

Sasa turejee kwenye nyimbo yenyewe......

Sasa turejee kwenye tafsiri........

Maktaba Kuu.View attachment 2121494
Mkuu umenikumbusha mbali Sana mwaka 2012-13 sikufuata kanuni #1 hivyo nikaanguka vibaya Sana kibiashara, nitakutafuta huko mbeleni
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom