Mwanakilimo
Member
- Oct 25, 2011
- 12
- 4
Kuna kitu nakifikiria, I don't know kama kinaweza kuwa fact...
Katka mazingira ambayo serikali inatumia fedha kiasi kikubwa kugharamia gharama zilizoongezeka ghafla kama umeme, je kushuka kwa thamani ya shilingi sio faida kwake?
Yaani kama unahitaji billioni moja Tsh kulipa mishahara, kutoa ruzuku n.k kwa mwezi mmoja, na wakati huo Tsh 1000 ni sawa na $ 1, ina maana unahitaji $ 1m kila mwezi, sio?
Lakini kama thamani ya Tsh ikishuka na kuwa $ 1 ni sawa na Tsh 2000, ina maana utahitaji $ laki 5 kwa mwezi kulipa mishahara. kama serikali ikiangalia na kugundua kuwa sehemu kubwa ya pato lake inakusanya kutoka katika VAT na kodi nyingine za importation, je haitakuwa faida kwake kushusha thamani ya shilingi ili ikusanye shilingi nyingi zaidi kutoka kwenye VAT na importation taxes, lakini ikiendelea kulipa mishahara ile ile na ruzuku zile zile regardless thamani ya sarafu?
Je, inawezekana serikali inapunguza thamani ya shilingi makusudi ili kuweza kukidhi matumizi yake? Inawezekana serkali inachapisha hela zaidi ili kulipa mishahara?