Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
Tabu
hahah hahh tokazako!
rudsha avatar yako ya ndz bas jaman dahh nilikuwa naipenda ile...
Tabu
weeweeeeeeeeeee, ngoma iko kwa akina anitha, maria na esther bana, balaah, naskia kwa krosi hao ni balaa
hahahahaha!acha usukunuku wew
utasutwa
mwone vle ndo mana haukuona ukoo kwenye sinia...
ROSE IZ THE BEST NAME EVER...nambien jina gan halina tatizo mimi nikaitwe ilo?
hahahahaha!
nisutwe tena?
itakuwa the next level of infidelity.....!
mtu anaefanana na kusutwa sutwa ni roya tu
Mi somo ,rose mchaga je atakamatika
Ban me please!:A S angry:hahahahaha!
nisutwe tena?
itakuwa the next level of infidelity.....!
mtu anaefanana na kusutwa sutwa ni roya tu
Maria kidoogo naamini duuu!weeweeeeeeeeeee, ngoma iko kwa akina anitha, maria na esther bana, balaah, naskia kwa krosi hao ni balaa
Ban me please!:A S angry:
u serious?Ban me please!:A S angry:
vp mamito? nataka ban kabla Roya hajatokea ili nisisome comment...heee.....:nono:
definetely :doh:u serious?
hahahahah G ndo walewale!!!hapana!....
wifi enu anaitwa anita
okay....!vp mamito? nataka ban kabla Roya hajatokea ili nisisome comment...
definetely :doh:
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....
vp mamito? nataka ban kabla Roya hajatokea ili nisisome comment...
definetely :doh:
Yesu kristu na babake, anita? uwiiii... wengi wa anita ni wambea hao kama wenye majina ya Pilihapana!....
wifi enu anaitwa anita
Yesu kristu na babake, anita? uwiiii... wengi wa anita ni wambea hao kama wenye majina ya Pili
Rose ana mambo kama ya hadija au sauda
n'gkiki?
:nono::nono::nono::nono:Mmechambua makabila sasa mmeingia majina, sasa hebu pigapicha unae rose wa kichaga, Kabila Mcharuko, Jina nalo Mcharuko kazi lazima itakuwepo