LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 251
Mashangingi 50 yanakagua mizinga 20 ya nyuki kweli pinda amepinda kweli
walisema mashangini basi, lakini bado tu mgao unaendelea kutolewa kwa wakubwa.
Mashangingi 50 yanakagua mizinga 20 ya nyuki kweli pinda amepinda kweli
Duh kweli mtoto wa mkulima nae kachemka...Mbunge wa nyamagana amewaambia wananchi wa mwanza kuwa pinda alikuja kufanya dhiara ambayo haikuwa na tija. Wenje anasema Waziri mkuu anakuja na msafara mrefu wa magari zaidi ya 50 ili kukagua mizinga ishirini ya nyuki buhongwa. je haya siyo matumizi mabaya ya fedha za walipakodi?
Kuna Chumvi Kali sana Imeongezwa kwa habari hii.....Alienda Ukelewe,geita na sengerema....Haikuwa Mwanza mjini na buhongwa peke yake. Nina walakini na Wenje katika maelezo yake.
sasa mkuu kama kuna chumvi,tueleze ukerewe alienda kufanya nini,yaani ziara nzima uielezee hapa ili uongo ujitenge ,achana na maneno matupu mkuuKuna Chumvi Kali sana Imeongezwa kwa habari hii.....Alienda Ukelewe,geita na sengerema....Haikuwa Mwanza mjini na buhongwa peke yake. Nina walakini na Wenje katika maelezo yake.
mkuu sehemu zingine alikuwa anaenda kuzindua misingi tu ya majengo. mfano bugarika akaanza kuwauliza watoto wa primary maswali kama: katibu mkuu wa CCM ni nani? watoto wakajibu NAPE NAUYE lakini bado akawagawia 10000 kila mmoja. kisha akauliza tena, Mnafundishwa? watoto ndiyo. akauliza mlima mrefu zaidi duniani ni upi? watoto wakajb KILIMANJARO.
kuna chumvi kali sana imeongezwa kwa habari hii.....alienda ukelewe,geita na sengerema....haikuwa mwanza mjini na buhongwa peke yake. Nina walakini na wenje katika maelezo yake.
mkuu sehemu zingine alikuwa anaenda kuzindua misingi tu ya majengo. Mfano bugarika akaanza kuwauliza watoto wa primary maswali kama: Katibu mkuu wa ccm ni nani? Watoto wakajibu nape nauye lakini bado akawagawia 10000 kila mmoja. Kisha akauliza tena, mnafundishwa? Watoto ndiyo. Akauliza mlima mrefu zaidi duniani ni upi? Watoto wakajb kilimanjaro.
Wangetakiwa kumpiga mawe kwa kuchezea pesa za walipa kodi wakati wengine hata mlo wa siku moja wanakosa magari 50 wanaenda harusini ?nawapongeza xana waliomzomea .
Haya mambo ya kuzomea tuwaachie watoto wetu mashuleni, sisi tujifunze kupiga mawe kama Wakurya walivyomfanya Nyambiri Nyangwene
Mkuu umenikumbusha mbali sana! Wanyamongo huwa wakichukia wanamaanisha! Niliwahi kwenda Nyamongo nikaambiwa walisha wahi kutungua helkopta ya barrick na kombeo. Ilivunjwa kioo cha mbele ikashindwa kuendelea na safari ikabidi rubani aishushe! Hawa ndio dawa yao tu!
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.