Wenje aeleza sababu za Pinda kuzomewa Mwanza

Vilaza na dhaifu sana. Ataendelea kuzomewa na hata vitoto vya chekechea
 
Siamini kama haya maneno ni ya Mheshimiwa Wenje, natamani ningeona clip ya Wenje alipotolea haya maneno.
1. Idadi ya magari haina ukweli,
2. Sababu ya kuzomewa haina ukweli (Wenje anaujua ukweli vizuri zaidi ya muandishi wa "thread" hii),
3. Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu ilihusisha mambo mengi kuliko hilo moja la Mizinga ya nyuki lililotajwa.
Si vibaya wakati mwingine tukaandika ukweli pasipo kuweka urembo wa maneno kwa nia ya kuvutia watu.
 
Mbunge wa nyamagana amewaambia wananchi wa mwanza kuwa pinda alikuja kufanya dhiara ambayo haikuwa na tija. Wenje anasema Waziri mkuu anakuja na msafara mrefu wa magari zaidi ya 50 ili kukagua mizinga ishirini ya nyuki buhongwa. je haya siyo matumizi mabaya ya fedha za walipakodi?
Duh kweli mtoto wa mkulima nae kachemka...
magali 50?? yote yapigwe full tank na madereva na waliowasindikiza woote wapewe posho??
 
Serikali hii ni upuuzi mtupu. Siku Pinda anatoka Misungwi kuja Mwanza tulisimamishwa pale Nyegezi toka saa moja usiku mpaka saa tatu, nikafika mjini saa 4 usiku. Nilihesabu magari yaliyokuwepo kwenye msafara, yalikuwa 57.
Kuna Chumvi Kali sana Imeongezwa kwa habari hii.....Alienda Ukelewe,geita na sengerema....Haikuwa Mwanza mjini na buhongwa peke yake. Nina walakini na Wenje katika maelezo yake.
 
Kuna Chumvi Kali sana Imeongezwa kwa habari hii.....Alienda Ukelewe,geita na sengerema....Haikuwa Mwanza mjini na buhongwa peke yake. Nina walakini na Wenje katika maelezo yake.
sasa mkuu kama kuna chumvi,tueleze ukerewe alienda kufanya nini,yaani ziara nzima uielezee hapa ili uongo ujitenge ,achana na maneno matupu mkuu
 
vile vile huwa anashangaa kwa nini watanzania ni maskini kwa sababu yeye anakula bata tu bonge la msafara mashangingi 50 ni noma
 
Ni ukosefu wa adabu kumzomea waziri mkuu wenje na wenzie wamekosa adabu
 
Msafara wa magari 50 kukagua mizinga 20? When will this nation learn to be serious?
 
mkuu sehemu zingine alikuwa anaenda kuzindua misingi tu ya majengo. mfano bugarika akaanza kuwauliza watoto wa primary maswali kama: katibu mkuu wa CCM ni nani? watoto wakajibu NAPE NAUYE lakini bado akawagawia 10000 kila mmoja. kisha akauliza tena, Mnafundishwa? watoto ndiyo. akauliza mlima mrefu zaidi duniani ni upi? watoto wakajb KILIMANJARO.

Ya kweli hayo Mkuu?
 
mkuu sehemu zingine alikuwa anaenda kuzindua misingi tu ya majengo. Mfano bugarika akaanza kuwauliza watoto wa primary maswali kama: Katibu mkuu wa ccm ni nani? Watoto wakajibu nape nauye lakini bado akawagawia 10000 kila mmoja. Kisha akauliza tena, mnafundishwa? Watoto ndiyo. Akauliza mlima mrefu zaidi duniani ni upi? Watoto wakajb kilimanjaro.

na akaridhika kuwa amepata?????????
 
Wangetakiwa kumpiga mawe kwa kuchezea pesa za walipa kodi wakati wengine hata mlo wa siku moja wanakosa magari 50 wanaenda harusini ?nawapongeza xana waliomzomea .

Haya mambo ya kuzomea tuwaachie watoto wetu mashuleni, sisi tujifunze kupiga mawe kama Wakurya walivyomfanya Nyambiri Nyangwene
 
Haya mambo ya kuzomea tuwaachie watoto wetu mashuleni, sisi tujifunze kupiga mawe kama Wakurya walivyomfanya Nyambiri Nyangwene

Mkuu umenikumbusha mbali sana! Wanyamongo huwa wakichukia wanamaanisha! Niliwahi kwenda Nyamongo nikaambiwa walisha wahi kutungua helkopta ya barrick na kombeo. Ilivunjwa kioo cha mbele ikashindwa kuendelea na safari ikabidi rubani aishushe! Hawa ndio dawa yao tu!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Hii stori inanikumbusha stori ya sisimizi kuuwa Tembo anaingia kwenye mkonga wa Tembo, basi Tembo anajipiga ukutani au kwenye mti mpaka anakufa.
 
Back
Top Bottom