Wenje aeleza sababu za Pinda kuzomewa Mwanza

Kwa mtu mwenye akili ndogo ataamini taarifa hii mana hatafikiria kwa kina na kwa mapana.
 
Aliwahi fanya ziara ya kukagua visima, alipochungulia ndani ya kisima akaona kitu kama mamba mdogo, akauliza mmefuga mamba? Akajibiwa hapana mheshimiwa hicho ni kivuli cha....! Hakumbuki Iringa Msigwa alimwambia nini juu ya msafara wake kuwa na magari 50 ya SIRIKALI. Magari 50, kukagua mizinga 20 ya nyuki??? Shame on .....!
 
Aliwahi fanya ziara ya kukagua visima, alipochungulia ndani ya kisima akaona kitu kama mamba mdogo, akauliza mmefuga mamba? Akajibiwa hapana mheshimiwa hicho ni kivuli cha....! Hakumbuki Iringa Msigwa alimwambia nini juu ya msafara wake kuwa na magari 50 ya SIRIKALI. Magari 50, kukagua mizinga 20 ya nyuki??? Shame on .....!

Mahaba niue.....Kila kitu tunapiga tunazomea......Pro CDM
 
Tunajua PM ndio mtendaji mkuu wa shughuri za kiserikali lkn swala la kukagua mizinga si angemwachia mkuu wa wilaya afanye hyo kazi? Kuna haja gani ya kuchoma mafuta lita karibia 25,000 kwa mambo yasiyo na tija? Achilia mbali gharama za hotels za ujumbe wote unaozidi 100? Tz shamba la bibi,iwe fundisho next time a-delegate majukumu.
 
Wenje anazungumzia kilicho tokea kwenye Jimbo lake la Nyamagana ambapo hata huko Buhongwa pia nikwake, hayo ya Geita, Kahama n.k, yeye hayamuhusu, kwani si ni kweli alienda na magari 50 kwenye mradi wa Nyuki with mizinga 20?

Kubali hilo kwanza, usihamisha mada, watu wa Mwanza walikuwa sahihi kabisa, tulipaswa Watanzania wote tuwapongeze, siku nyingine hawa viongozi wetu hawatajifunza, si unakumbuka hata kule Mbeya watu walihoji ziara ya waziri wa mambo ya ndani wakti huo, yule Mzanzibar, kwenda kuona maendelea ya chama while akitumia magari ya serikali? walihoji na wakazomea pia, jamani huo ndio uzalendo.
 
Tanzania ina uwezo wa kuzalisha Tani 140,000 za asali ila kwa sasa tunazalisha tani 9000 tu , ndio maana mheshimiwa amekuwa anavalia njuga swala hili.

Sasa angalia manufaa yatakayopatikana iwapo hili litafanikiwa halafu ufananishe na gharama za huo msafara. Mheshimiwa Wenje kwa hakika amepotoka kwenye hili!
 
Kwani wenje na chama chake ni wasafi? au tunageuzana hamnazo tuwaone chadema ndiyo wakombozi?SIJAMUONA MKOMBOZI WA KWELI, AMBAYE ATANISHAWISHI NIWAUNGE MKONO, BADO NAMSAKA NABII WA KWELI NITAYEMKABIDHI NCHI BADALA YA CCM.
 
"Usually when people are sad, they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry, they bring about a change." MalcomX
 
ahahah
WENJE SAFI SANA
BIG UP
watasema sana hadi kieleweke sasa wakija watajiandaa uzi huo huo mpkakieleweke
 
Pinda hana tija wanaendelea kutumia kodi zetu vibaya, safi sana Wenje umempa ukweli huyo mzee wa kulialia
...Hivi alivyozomewa hakulia kweli? Nadhani 98% ya viongozi wetu up stairs siyo njema sana. Waziri Mkuu anashindwaje kuwahoji hao wanaopanga msafara wake kuwa na magari 50 ya nini? wakiwa na magari 3 ziara hazifanyiki?...
 
Mbunge wa Nyamagana amewaambia wananchi wa Mwanza kuwa Pinda alikuja kufanya ziara ambayo haikuwa na tija. Wenje anasema Waziri mkuu anakuja na msafara mrefu wa magari zaidi ya 50 ili kukagua mizinga ishirini ya nyuki Buhongwa. je haya siyo matumizi mabaya ya fedha za walipakodi?
Ina maana kila mzinga mmoja uliwakilishwa na magari 2.5(V8)
 
Wangetakiwa kumpiga mawe kwa kuchezea pesa za walipa kodi wakati wengine hata mlo wa siku moja wanakosa magari 50 wanaenda harusini ?nawapongeza xana waliomzomea .
Naona ana tatizo la hisabati maana huku amekataa shangingi huku ana msafara wa gari 50
 
pinda ni bonge la kilaza kama tu yalivyo magamba mengine. mpaka watu wanakuzomea lazima utakuwa umetia aibu sana. halafu hao vilaza wa uvccm wanamlaumu mh. Wenje kivipi??? hata kama mh. Wenje aliwashauri vijana, inaonekana hao vijana pia walikuwa wana mawazo hayohayo kwa hiyo alichofanya mh. Wenje ni sawa na kumsukuma mlevi kunako mteremko. ccm msijidanganye, ukweli ni kwamba mnatia kichefuchefu sana. hii nchi imewashinda na watanzania tumewachoka, ingawa ukweli mnauchukia, mpaka wanakuzomea ina maana wamekuona huna maana kwao, mbaya zaidi waziri mkuu, ndo hufai kabisa. Huwezi kutegemea watu wakuheshimu wakati wewe huwaheshimu kwa kuwa mchango mkubwa kwenye umasikini wao.
 
Back
Top Bottom