Wema sepetu mwee!!!

mmh nilimuona huyu dada m.city anavutia mnoo aisee, na shape ipo nzuri tu... jamani mtu aliemuona akiwa 'naked' keshasema sura zari zarina shape sepetu wema mjiongeze basi
Akipiga picha shape ndio inaongezeka ee,,,halaf mbona hata wema ana sura nzuri ana lipsi kali
 
Nadhani Wema mwenyewe ukimuona kwa siri,kisha ukamuuliza unaonaje hili umbo lako la sasa na lile la siku za nyuma,naamini atasema anatamani sana siku zirudi nyuma arudishe hii shepu.Hebu icheki hapo.
cc3c6b70f8db202458da97fac797aae8--black-body-beautiful-women.jpg
 
hahahaha aisee hayo ndio maajabu mengine..
wajinga ndio waliwao
Wanasema ukiwa muongo sharti uwe una tunza kumbu kumbu ....sasa mtu amesha sahau kama aliwadanganya watu ni namba 8 ..baada ya muda kasahau hata kuvaa yale manguo kuendelea kutudanganya
 
Back
Top Bottom