Wema Sepetu ataka kugombea ubunge

Labda ubunge wa umalaya ndiyo utapata ukawawakilishe bunge lao lakinia siyo hili la watu makini.
Bunged la watu makini lipi ndugu?kama makinda anaongoza bunge tusishangae huyu akaja kuwa mbunge na waziri baadae. Kwani anatofauti gani na amina chifua
 
Binti Sepetu kama unaingia humu, tafadhali usituaibishe wanawake wenzio.Pls spare us this time.
Ushauri wa bure : tafuta ukarabati wa tabia kwanza kisha ujipange kwa 2025! Utakuwa umekomaa kimaisha na kisiasa labda.Tuombe uzima.

Katika kujipanga, anza kujishughulisha na huduma za kijamii, ongeza shule, jiepushe na makundi mabaya,tulia usijiingize tena katika mahusiano yenye utata na watu watata. Maliza kesi zako ikiwezekana nje ya mahakama (hili laweza kuwa gumu kama kesi ishaanza kusikilizwa) au subiri kesi iishe na ukubali matokeo.Kama ni kifungo basi tumikia kifungo na uwe na mfano mzuri ukiwa jela ( god forbid!).

Tafuta mentors watakaokuwa wanakupa ushauri na miongozo yamaisha na career ya siasa kama uko serious.

Kila la kheri!
 
mrembo Wema kama unapita hapa au kama kuna anayeweza kumfikishia ujumbe mwambie afuate ushauri wa WomanOfSubstance hapo juu
otherwise kwa hivi ulivyo itakuwa ngumu sana labda upitie viti maalum ccm
 
sitanshangaa akipata kwasababu watanzania baadhi wanapenda usanii mpaka kwenye masuaala serious kama uongozi wa nchi
 
This gurl ana confidence sana, endapo ataamua kupunguza scandal zake na kuamua kwel kuingia kwe politics atakuwa mwakilish mzuri sana!
 
Kila la heri,haki yake kikatiba. Wosia wangu; like all succesful politician wa bongo promise everything deliver nothing.
 
Kila la heri,haki yake kikatiba. Wosia wangu; like all 'succesful' politician wa bongo promise everything deliver nothing.
 
Back
Top Bottom