Wema Sepetu ataka kugombea ubunge

Go girl ukipata ubunge rais Zito kabwe atakuteua waziri wa mambo ya ndani ya ofisi ya rais ikulu mtakuwa wooteee kila mahali hakuna atakayekusumbua utakuwa pambo la ikulu
 
Ametangaza muda muafaka kabisa, mh rais hajamaliza kuteuwa viti maalumu. Kwa yy alivyo anayo nafasi.
 
Jamani what is a big deal with Ubunge?

We have Komba, Rostam, Mr II, why not Wema?

Please, please, please, do not make it a big deal. I agree with you that we have bright wabunge, Tindu Lissu, Mnyiak, Zitto kwabwe, but still we have others who are .....useless materials....

Please, give her a break, mwacheni!

useless wabunge wapo wengi tu Wema akienda atakuwa bora kuliko wao, mbona Amina chifupa alikuwa bora sembuse Wema
 
useless wabunge wapo wengi tu Wema akienda atakuwa bora kuliko wao, mbona Amina chifupa alikuwa bora sembuse Wema

Wabunge wengi "wanachapwa nazo" na tunawajua. Nenda bwana, ukatetee "wenzako" kwani umalaya ni janga la kitaifa, linahitaji watetezi rasmi bungeni
 
Nasikia kichefuchefu itabidi pipa(si kikombe) la babu wa Loliondo lipelekwe ofisi za bunge Dom,Wema akiukwaa uheshimiwa,napiga picha atakavyokuwa anajibinuabinua hapo mjengoni kuwanasa wasiohesimiwa
 
NIMEKUMBUKA....KAMA MWAI KIBAKI AMETEUA CHIEF JUSTICE G.A.Y ........ PIA ANAWEZA TEUA MBUNGE B.I.T.C.H....... mnisamehe kwa ukali wa maandishi..... sio mimi ni "keypad error"
 
kwa kupitia CCM inawezekana!


Acha kashfa mkuu..........................hata akigombea chadema kura yangu ataipata tuuuuuuuuuuuuuuuuu,anafaa ile mbaya....WEMA KEEP IT UP DON,T LET ANYONE DEFLATE YOUR SELF ESTEEM................kwani kuna wabunge hopeless,washirikina,wachafu,mafisadi n.k, ambao hawewezi kulinganishwa na mtoto decent kama wewe,achana na wapika majungu,unaweza.
 
wasira.jpg Keep it up wema,kama huyu anaweza tena kwa kuiba kura, sembuse wewe mrembo kabisa usiweze.....hahahaha.
 
Back
Top Bottom