Wema Sepetu ashiriki Big Brother Africa?

Nyetk

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,648
1,696
Inaonekana mlimbwende muigizaji anajifua kutinga Big Brother Africa na anaomba ushauri. Sijui sana vigezo wanavyotumia wapigakura BBA wakilinganisha ushiriki wa mtu na tabia yake. Mnaomjua Wema mngemshauri nini?

attachment.php
 

Attachments

  • Wema-Sepetu.jpg
    Wema-Sepetu.jpg
    35.5 KB · Views: 2,187
wema kwa kweli anafaa kushiriki kwa kuwa atakuwa fo really.. hataweka usanii kama wengine...go go go wema
 
Big yes to her! Kama Karen alishinda why not Wema?

asijeleta mambo ya bhoke tu! chonde chonde!

Mi nadhani kinacho-matter BBA not so much kuhusu mambo binafsi kama ya Bhoke unayosema cacico. What matters ni openness ya mtu na jinsi anavyohusiana na kujichanganya na wenzake mjengoni. Bhoke wasn't someone who could put up easily with others; I mean she was a little bit reserved to herself. Karen alionekana kama anapenda sana kale kamchezo, wenzake wanamsema alikuwa mchafu/ananuka, alikuwa anapenda kutembea uchi kila wakati... lakini kilichomfanya watu wampende pamoja na vijimambo hivyo jinsi alivyokuwa si mnafiki, yuko open, hana hila na mambo kama hayo.

Swali linabaki; Je, Wema anauwezo wa kusocialize kiasi gani, uwezo wa kuwa open kiasi gani, uwezo wa kutokuwa artificial, na mambo kama hayo?
 
Last edited by a moderator:
huyo huko aende tu ndio mahala pake. Atakua amempunguzia shigongo kazi ya kusaka habari zake, maana atapiga kambi kwe luninga ya bba
 
ninachoona hapa ni ataenda kutudhalilisha maana hawezi kujihandle hata jikoni mnaweza kumalizana nae na ukatoka mwanauume umeridhika
 
aaagggggggghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh......
 
kuanzia sasa asipake mkorogo, na awe natural .... yaani asipende kuishi maisha ya TV, aishi maisha ya matanzania
 
Back
Top Bottom