WEMA SEPETU anahojiwa XXL CLOUDS FM now

Hehehe! Kwani baba mtoto yako ni muzungu weye?...

Akikukubalia na mimi nakuiga lol.

NN, SL & bht mnanifanya mm nionekane kama jinga flani hiviii hapa nilipo yani nachekaa kama mjinga Mungu wangu naona na asthma inataka kunibana! Nimecheka sana jioni ya leo loooh!
Shukrani za dhati zimuendee muke ya muzungu na mfugo wake wa kwapani maana ndio umesababisha haya yote kwa jioni ya leo.
 
aisee huyu mwanadafada ataolewaga kweli?
Maisha yake ya baadaye yatamgharimu kweli kweli...There is sooooooooo! much drama kwa wanawake wa kibongo and them called 'stars' wa kibongo mpaka unashangaa. Blogs zao nyingi ni kutukanana mwanzo mwisho.Kuna blog zingine unashangaa kama zinaelimisha au zinabomoa. Upendo baina yetu wanadamu umepotea kabisa hasa wanawake. Mimi sioni kwa nini issue ya diamond na wema iwe issue ya kujaza magazeti nao waandishi wanakosa kweli kazi.....eti mpaka radio nazo wanazungumzia hii issue hawa watu wanakosa uelewa kweli....hawajui hata watoto wadogo wanasikiliza hizi radio wanachosikia ni uchafu uliokithiri kwa jamii yetu.
 
NN, SL & bht mnanifanya mm nionekane kama jinga flani hiviii hapa nilipo yani nachekaa kama mjinga Mungu wangu naona na asthma inataka kunibana! Nimecheka sana jioni ya leo loooh!
Shukrani za dhati zimuendee muke ya muzungu na mfugo wake wa kwapani maana ndio umesababisha haya yote kwa jioni ya leo.
Cheka mwaya, maisha ndo haya haya tu ya nini uote wrinkles ungali mbichi

Heheee hao ndo macelebrity...chezeiya muke ya mUzungu wewe...akija hapa mi najikana mwenyewe maana tutasutwa tuwe wadogo kaa sisimizi
 
Cheka mwaya, maisha yenyewe haya wala hayatoshi kugawa muda wa kucheka na kununa...

Mie pia nimecheka sana kwaajili ya muke ya muzungu lol.
 
@maisha club hapa kuna party ya wema sepetu nasikia ana nyimbo sijui ndo anataka kuitambulisha!!!wema bana!ila nalikubali jembe langu hili!headache ntashindwa kusubiri wakali watanihadithia kitachojiri acha nikamalizie match ya barcelona.....
 
Cheka mwaya, maisha ndo haya haya tu ya nini uote wrinkles ungali mbichi

Heheee hao ndo macelebrity...chezeiya muke ya mUzungu wewe...akija hapa mi najikana mwenyewe maana tutasutwa tuwe wadogo kaa sisimizi
Hehehe! Kusutwa tu? Kwani siku hizi ameacha yale matisho ya kuua?...akija utasikia namnukuu 'wabongo kazi umbea tu, hamna kazi ya kufanya, mie ndio mana sitaki mazoea na wabongo, kampani yangu wazungu tupu' mwisho wa kunukuu lol...

Simo.
 
Back
Top Bottom