BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,495
Sometimes inabidi tukubali kuna watu mapengo yao hayana replacement kutokana na uwezo extra walionao.
Radio Free Africa ilipoteza mvuto baada ya kuachana na waandishi wao ambao hata leo hii ni ngumu kuwapata kwenye tasnia watangazaji ambao walikuwa wana vipaji kweli wanajua kile wanachokifanya na wanakifanya katika ubora wa hali ya juu.
Tangu kuondoka kwa Bdozen Clouds kwenye kipindi cha XXL kuna vitu vilikuwa vinamiss kelele zilikuwa nyingi kuliko ufanisi wa kazi jumlisha ukosefu wa ubunifu ni wazi kipindi kilikuwa kinapumulia mipira kurejea kwake ni jambo la msingi tunaimani anaenda kurejesha kipindi katika ubora wake.
Welcome Back Bdozen.