WEMA SEPETU anahojiwa XXL CLOUDS FM now

Jamani mnaumiza vichwa na muda wenu bureeeeee Wema bado hajakua jamani ndo wakati wake msiwe na wasiwasi wapendwa kha maana nimesoma post nakucheka tu mie haya

Nimemwangalia na kumsikiliza akiongea hapo clouds FM.
She leaves a lot to be desired.
 
SL umenikumbusha mbali,2005 wakati tunaanza chuo alikuja dada mmoja hivi mapigo yake ndio hizo raba na magauni ya vitenge,mwaka wa 3 sasa akawa bobge la sista duu hadi high heels anavaa


Nina hakika wakati huo Mzee Punch alishakufa, maana angemsalimia tu!:biggrin:
Kwa hiyo mkawa mnamkumbusha alikotoka?? si unajua wanafunzi tena.
 
Habari za wema imekua topic kila kona ivi uyu bint ana akili kweli kila akipita kona anajiona, shame on her sasa, ts damn much
 
Mleteni kwangu kama mmemshindwa ata tulia . Hataangaika tena
 
Wasafi wengi kweli.
If only. . . .!!!


Wasafi ni wachache sana.
Ila, hao wachafu wengu, hawajipeleki kwenye Media kama Wema.
Alichofuata XXL ni nini?
Ukiangalia sana, what is the issue?
Diamond kutopokea pesa yake ndio liwe swala?
hakuna wala la maana, ni kupenda media coverage bila sababu
Anavuna alichopanda.
 
Back
Top Bottom