Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,152
WEMA MTUMWA WA MAPENZI?
Nahisi nimekuwa mtumwa wa mapenzi, utadhani nililetwa duniani kuteswa na mapenzi.
Hebu fikiria leo ni siku ya nne Diamond hapokei simu wala hajibu sms, najua sina la kufanya, nimeamua kumwachia Mungu kwa sababu mwenzangu anamsikiliza zaidi mama yake.
Diamond anajua fika kuwa mama mkwe wangu ananichukia na kila siku ananichachamalia niachane na mwanaye, nimeamua kunyanyua mikono juu na kumshukuru muumba kwa hapa tulipofikia kwani sina jinsi.
Najua jamii itaniona mkorofi na sistahili kuwa mke wa mtu, lakini ukweli mimi si mkorofi na nampenda Diamond kwa dhati, alisema.
ETI PANDE ZOTE MBILI HAZITAKI NDOA
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa wakwe wa pande zote mbili hawataki kuona ndoa hiyo inafungwa, wanawachukulia wapenzi hao wanafanya mambo yao kujifurahisha tu na kwamba