Wema, diamond... Hakuna ndoa

Hawakujuwana vyema.Mapenzi yao maybe yalikuwa more of a "show off" Kila siku kwenye ndeia na magazeti ya udaku.Kama alivalishwa pete,basi angejuwa how to act and behave based on how he knows the guy.Kama najuwa kuwa ni mtu anayeweza kuchukua ushauri wa mama na kwamba mama hampendi.Hayo yote yalikuwa bure tu.Ama lbda these guys ni njia yao ya kuwepo kwenye mawazo ya mashabiki wao.To me its just another mambo jambo.
 
kasome Biblia kuanzia Mwanzo 1:1 mpaka ufunuo akuna sehemu imeandikwa Mpango wa Mungu wanandoa Kuachana hata siku Moja kama una New virsion ya baibo yako tumwagie hapa.....
Ungesoma vizuri ungeelewa lkn kwa vile tayari ulikuwa na majibu ya sred yako ndio maana umesoma na kuelewa kinyume!
 
Ujue kule ulaya hasa watu malufu kama anampango wa kufanya jambo fulani lazima watafute skendo kusudi aweze kufanikiwa.mf diamond na wema sasa wapo masikion mwa watu leo km diamond akitoa nyimbo lazima apate mkwanja tu
 
Njo baby niongeze mke wa pili nakutamaniaga sema me sio star.malavlav kibao yakitanga njo wema,hujue ww ni mwema km jna lako watu tu hawajui
 
Hata ingekuwa ni mimi, ningeacha RADHI kwa mtoto wangu kumuoa Wema.

Usije fanya hivyo kwa mwanao ! Mapenzi ni ngumu kuyaelezea,aoe nani mwanao malaika? Mtazame pdidy wa ukweli na Jeniffer Lopez.pdidy hajao na inaelekea haoi anamfanya kiwanda cha watoto mamawatoto pasina kumu oa na jenny ni hatari zaidi jamaa wanabadilishana mlangoni.unajua kisa ninani ? Mamayake pdidy !
 
Back
Top Bottom