Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 943
- 4,458
Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF.
Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto walipewa mkataba unaosemwa wakipata fedha zinakwenda kujenga miundombinu? Sheria za kimataifa zinakubaliana na jambo hili? Kama hakuna mkataba nani alishiriki kufanya haya maamuzi?
Mbona timu za wakubwa hakuna hizi hoja ? Lakini kama huu ndio utaratibu kwanini msemaji wa TFF alisema wanashughulikia hundi? CAF wanashiriki vipi kubariki utumikishaji wa watoto kwenye michezo? FIFA wanawezaje kukaa kimya haya yakiwa yanatokea dhidi ya mtoto? Milioni 180+ unampa mtoto elfu 20 hata haitoshi kutibu majeraha tena unawatekeleza unakuja DSM?
Mawakili wateteeni hawa watoto yawezekana miaka yote wanafanyiwa hivi na hakuna miundombinu iliyojengwa na hata ikijengwa hiii ni child exploitation.
Tunaomba ufafanuzi wa kina siyo siasa: watuambie huu mkataba wakukata watoto fedha umeshawaumiza watoto wangapi?