Acha kutetea ujinga na uonevu wewe, hivi mtu ukiwa CCM ni lazima uwe mpumbavu muda wote na kutetea wizi wizi au?? Sielewi.Tatizo la watanzania wengi linaanzia kichwani , Sheria ipi inamlazimisha mtu kumlipa mtoto wakati hayuko kwenye mkataba wa ajira yoyote , kwenys ma elfu ya watoto wa umri wao washukuru kupatiwa nafasi hiyo.
Hivi bila hao watoto kwenda kushiriki hayo mashindano hizo hela mngezipataje? Hao watoto mngewadhurumu Nini hasa?
Hivi unafikiri kwa hiki mlichokifanya Kuna mzazi mwenye akili timamu atamruhusu mtoto wake kwenda kurisk afya yake kwa ajili ya kupata 20,000/=??
Huwa nasema kila siku humu Michael wa Soka la Tanzania ni TFF wenyewe na sio kitu kingine