Waziri wa Michezo, FIFA na CAF tunaomba tusaidieni: wachezaji watoto wameanzaje kutumikishwa kujenga miundombinu ya michezo Tanzania?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
912
4,249
Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF.

Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto walipewa mkataba unaosemwa wakipata fedha zinakwenda kujenga miundombinu? Sheria za kimataifa zinakubaliana na jambo hili? Kama hakuna mkataba nani alishiriki kufanya haya maamuzi?

Mbona timu za wakubwa hakuna hizi hoja ? Lakini kama huu ndio utaratibu kwanini msemaji wa TFF alisema wanashughulikia hundi? CAF wanashiriki vipi kubariki utumikishaji wa watoto kwenye michezo? FIFA wanawezaje kukaa kimya haya yakiwa yanatokea dhidi ya mtoto? Milioni 180+ unampa mtoto elfu 20 hata haitoshi kutibu majeraha tena unawatekeleza unakuja DSM?

Mawakili wateteeni hawa watoto yawezekana miaka yote wanafanyiwa hivi na hakuna miundombinu iliyojengwa na hata ikijengwa hiii ni child exploitation.

Tunaomba ufafanuzi wa kina siyo siasa: watuambie huu mkataba wakukata watoto fedha umeshawaumiza watoto wangapi?
 
Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?

Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?

Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
 
tff are so poor ,all they have is money ;they think money is the root so they want the whole damn tree..
 
Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?

Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?

Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
Wasingeshinda hyo miundo mbinu ingejengwa kwa pesa zipi?
tuache kutetea UPUMBAVU. Suala la kujenga miundo mbinu sio kazi ya wachezaji.
 
Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF.

Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto walipewa mkataba unaosemwa wakipata fedha zinakwenda kujenga miundombinu? Sheria za kimataifa zinakubaliana na jambo hili? Kama hakuna mkataba nani alishiriki kufanya haya maamuzi?

Mbona timu za wakubwa hakuna hizi hoja ? Lakini kama huu ndio utaratibu kwanini msemaji wa TFF alisema wanashughulikia hundi? CAF wanashiriki vipi kubariki utumikishaji wa watoto kwenye michezo? FIFA wanawezaje kukaa kimya haya yakiwa yanatokea dhidi ya mtoto? Milioni 180+ unampa mtoto elfu 20 hata haitoshi kutibu majeraha tena unawatekeleza unakuja DSM?

Mawakili wateteeni hawa watoto yawezekana miaka yote wanafanyiwa hivi na hakuna miundombinu iliyojengwa na hata ikijengwa hiii ni child exploitation.

Tunaomba ufafanuzi wa kina siyo siasa: watuambie huu mkataba wakukata watoto fedha umeshawaumiza watoto wangapi?
Kwenye Ujenzi ndio wazee wanapaita maokoto yao kama sio kujengewa kabisa
 
Watoto Mahitaji Yao Makubwa ni Malezi Bora.!

Tuwajengee Future nzuri Watoto....Mbio za Maokoto Wakikua Watazikuta tu...! Tusiwaharibu..
 
Yani we acha tu, watoto wanashinda mamilion kwenye mgao mtoto anapewa elf 20?
ndio maana wazaz wengi hawaruhusu watoto wao wakapoteze muda huko
Hao watoto wamepatiwa platform ya kuonyesha vipaji sio kulipwa hakuna Sheria ya kumlipa mtoto na zawadi ni ya shirikisho inajukumu la kuwatunza hao watoto wakiwa kambini .
Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF.

Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto walipewa mkataba unaosemwa wakipata fedha zinakwenda kujenga miundombinu? Sheria za kimataifa zinakubaliana na jambo hili? Kama hakuna mkataba nani alishiriki kufanya haya maamuzi?

Mbona timu za wakubwa hakuna hizi hoja ? Lakini kama huu ndio utaratibu kwanini msemaji wa TFF alisema wanashughulikia hundi? CAF wanashiriki vipi kubariki utumikishaji wa watoto kwenye michezo? FIFA wanawezaje kukaa kimya haya yakiwa yanatokea dhidi ya mtoto? Milioni 180+ unampa mtoto elfu 20 hata haitoshi kutibu majeraha tena unawatekeleza unakuja DSM?

Mawakili wateteeni hawa watoto yawezekana miaka yote wanafanyiwa hivi na hakuna miundombinu iliyojengwa na hata ikijengwa hiii ni child exploitation.

Tunaomba ufafanuzi wa kina siyo siasa: watuambie huu mkataba wakukata watoto fedha umeshawaumiza watoto wangapi?
 
Hao watoto wamepatiwa platform ya kuonyesha vipaji sio kulipwa hakuna Sheria ya kumlipa mtoto na zawadi ni ya shirikisho inajukumu la kuwatunza hao watoto wakiwa kambini .
Tapeli ww umekuja kutetea wizi ...huu upuuzi watoto mnawavunja moyo hata km ni uzalendo si wa kipuuzi hivi bora hata wawape laki moja na usheee
 
Tunayo Shida na Malezi ya Watoto kwa Sasa..!

Hivi Kitoto under 15 ukikabidhi Laki nzima ili iweje..?

Hiki Kitoto under 15 years Kikisha zoea pesa, Kesho kikiwa Kijizi Utamlaumu Nani..?
 
Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?

Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?

Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
Uzalendo sio kunyonya jasho la mwrnzako, tff wanaiba 2025 utaona wengine wanapenda kugombea ubunge.
 
Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?

Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?

Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
Sijui ni mimi ndiye sijui maana ya neno UZALENDO kwa sababu naona km kwa sasa ili uwe MZALENDO ni uwe mjinga usiye fahamu haki zako na unayebariki wizi.
 
Back
Top Bottom