Waziri wa Michezo, FIFA na CAF tunaomba tusaidieni: wachezaji watoto wameanzaje kutumikishwa kujenga miundombinu ya michezo Tanzania?

Usichoelewa wale watoto hawakucheza bure, walilipwa. Leo kampuni inakulipa mshahara ili uiingizie faida cha ajabu faida inapatikana unaona nayo ni haki yako. Kampuni nyingi zinakupa bonus kutoka kwenye faida na tff wamefanya.
Hivi unaweza kunieleza kwanini timu ya vijana ya wazanzibar umepewa milipni 50 na rais wa muungano, hao vijana wapewe wanachostahili ingekuwa nchi nyingine mawakili wangeshanunua kesi Ila wa kwetu wanaosubiri kesi zenye attention
 
Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?

Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?

Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya uzalendo na ujinga, uzalendo ni pamoja na kujua haki zako unatumikishwaje kijinga?
 
Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF.

Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto walipewa mkataba unaosemwa wakipata fedha zinakwenda kujenga miundombinu? Sheria za kimataifa zinakubaliana na jambo hili? Kama hakuna mkataba nani alishiriki kufanya haya maamuzi?

Mbona timu za wakubwa hakuna hizi hoja ? Lakini kama huu ndio utaratibu kwanini msemaji wa TFF alisema wanashughulikia hundi? CAF wanashiriki vipi kubariki utumikishaji wa watoto kwenye michezo? FIFA wanawezaje kukaa kimya haya yakiwa yanatokea dhidi ya mtoto? Milioni 180+ unampa mtoto elfu 20 hata haitoshi kutibu majeraha tena unawatekeleza unakuja DSM?

Mawakili wateteeni hawa watoto yawezekana miaka yote wanafanyiwa hivi na hakuna miundombinu iliyojengwa na hata ikijengwa hiii ni child exploitation.

Tunaomba ufafanuzi wa kina siyo siasa: watuambie huu mkataba wakukata watoto fedha umeshawaumiza watoto wangapi?
Majibu ya Karia ni ushahidi unaopaswa kumpeleka mahakamani.

Yaani mumtumikishe mwanangu alete sifa kwa Taifa kisha zawadi wanazopewa mnazitumia kwa mipango yenu. Kwa watetezi wa Haki za Mtoto wanapaswa kupeleka kesi mahakamani kuhusu hili
 
Halafu swali la kujiuliza ni kwamba kama wasingeshinda hiyo miundo mbinu isingejengwa au
 
UTAPELI TU.
Kazi ya kujenga miundo mbinu ni kazi ya serikali kupitia Kodi za wananchi na misaada kutoka fifa na caf.
ndo maana nasema mawaziri wa michezo ni MIZIGO.
Kuna fungu huwa linatolewa na Vyama vya Soka Africa kupitia FIFA....ajabu vizee kunyang'anya hela ya mtoto kifara namna hii.
 
Tunayo Shida na Malezi ya Watoto kwa Sasa..!

Hivi Kitoto under 15 ukikabidhi Laki nzima ili iweje..?

Hiki Kitoto under 15 years Kikisha zoea pesa, Kesho kikiwa Kijizi Utamlaumu Nani..?
Hawa watoto wanatakiwa wawe motivated waone kumbe mpira unalipa watie juhudi, hata wakirudi mtaani wanacha kuwatambia wenzao sasa mtu anarudi na majeraha na boxers zimechanika kesho atarudi tena?
 
Sio lazima ashikevyeye hizo pesa. Kuna wazazi na walezi, pia unaweza kuwafungulia akaunti za benki na kuwawekea pesa hizo.

Wangewapa angalau millioni moja au mbili kila mmoja.
Tunayo Shida na Malezi ya Watoto kwa Sasa..!

Hivi Kitoto under 15 ukikabidhi Laki nzima ili iweje..?

Hiki Kitoto under 15 years Kikisha zoea pesa, Kesho kikiwa Kijizi Utamlaumu Nani..?
 
Ndugu muuliza Swali ,kwani Wewe Unataka iweje..?

Huitaki Miundo mbinu ya Michezo iboreshwe...? Au hutaki TFF wazielekeze huko..? Waache nao Watoto wachangie Taifa lao japo Kidogo.?

Mtawafundisha Lini Uzalendo hao Watoto..? Hilo ni Somo La Uzalendo pia..!
Sawa cliford mario ndimbo tumekusikia...mwaka huu mtatema bungo manina zenu
 
Hapo ndipo namuelewa Canavaro kama nahodha alipopokea zawadi ya fedha walizopewa Zanzibar Heroes alienda kuwagawia wachezaji wenzake na aliishia kupigwa ban ya kuchezea Heroes
 
Tunayo Shida na Malezi ya Watoto kwa Sasa..!

Hivi Kitoto under 15 ukikabidhi Laki nzima ili iweje..?

Hiki Kitoto under 15 years Kikisha zoea pesa, Kesho kikiwa Kijizi Utamlaumu Nani..?
Acha kuandika upumbavu, Jamal Yamal mwenye umri wa miaka 15 pale Barcelona unajua analipwa kiasi gani?

Unafikiri anacheza Bure pale Barcelona au analipwa hela ya soda kama mnavyowafanya hawa watoto?
 
Back
Top Bottom