MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Huo ni uzushi, iwe wako wewe au umefuata mkumbo.Dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko.
Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga mabomu waislam walipokuwa wanasoma dua sasa zimekuwa zikisambazwa kwa wingi visiwani huko.
TAYARI JUMUIA YA UAMSHO WAMEWATAKA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA BARA KWENDA KUZICHUKUA DVD HIZO
SOURCE: JUMUIA ZA KIISLAM ZANZIBAR
Nani alichukua video hiyo wakati wa tukio, ndani ya nyumba, na bado askari anakuacha uchukue video; unless hiyo nyumba iwe na CCTV.
Na hapo nyekundu ndio uongo kabsaaaaaa, wao hawawezi kutuma video hadi waandishi watoke TZ Bara kuzifuata huko? Acheni hizo! Na pengine leo katika hotuba baada ya sala zote issue itakuwa hiyo, huku kukiwa hakuna mmoja anajiuliza, anakubali kulishwa kasumba tu.
Hawa UHARISHO hawa, kichwa maji kweli.