Waziri wa mambo ya ndani matatani. Dvd za polisi kupiga mtoto zanzibar zasambazwa

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko.
Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga mabomu waislam walipokuwa wanasoma dua sasa zimekuwa zikisambazwa kwa wingi visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndio aliagiza waislam hao wapigwe kwani yeye alikuwa ziarani visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndie muhusika mkuu wa tukio pengine kwakuwa amekasirika na Uchomaji wa makanisa yeye akiwa ni mmoja wa muumini wa dini hiyo.
TAYARI JUMUIA YA UAMSHO WAMEWATAKA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA BARA KWENDA KUZICHUKUA DVD HIZO


SOURCE: JUMUIA ZA KIISLAM ZANZIBAR
 
nampongeza sana hon. Nchimbi kwa kuwapa kichapo waislam al qaeda

nasikia bado anahasira kwa kuchomewa kanisa lao. Tatizo la tz ndio hili. Viongozi wengine wanatumia udini zaidi badala ya uzalendo. Dvd zasambazwa kwa wingi huko
 
kama ni kumpiga mtoto hilo nalipinga,TWO WRONGS AINT MAKE ONE RIGHT......polisi waache uonevu....
 
Mpesapesa unachokitafuta utakipata muda si mrefu.kila mara comments zako zimekaa kichochezi na kibaguzi sana,you dont belong on planet earth
 
Halt please................it's all idiot na umaskini wa mawazo kuripoti kupigwa kwa mtoto au???????Wenye access iwekeni hapa tuone wenyewe then comments and actions will follow
Olesaidimu Not that reporting such inhuman act is a bad thing, but linking it with religion is what i would rate as idiot and umasikini wa mawazo, how many times have the police done these ? Today you want us to believe that it is due to religion...not at all. nakataaaaaaaaaa
 
Dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko.
Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga mabomu waislam walipokuwa wanasoma dua sasa zimekuwa zikisambazwa kwa wingi visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndio aliagiza waislam hao wapigwe kwani yeye alikuwa ziarani visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndie muhusika mkuu wa tukio pengine kwakuwa amekasirika na Uchomaji wa makanisa yeye akiwa ni mmoja wa muumini wa dini hiyo

Umetumia analysys finyu sana. But naheshm mawazo yako siku ingine analyse critically

Siungi mkono kabisa utesaji kama umetokea na askali hawatakiwi kutesa wanatakiwa kukamata
Hukumu inatolewa mahakamani.

Eh mungu utunusuru na hili balaa!
 
nasikia bado anahasira kwa kuchomewa kanisa lao. Tatizo la tz ndio hili. Viongozi wengine wanatumia udini zaidi badala ya uzalendo. Dvd zasambazwa kwa wingi huko
Hizo dvd zingekuwa zimesambaa lazima mngekuwa mmeziweka hapa, mnaweza kuwa na hoja za msingi ila mnaziwasilisha kipuuzi alafu mnaishia kulalamika kuwa mnaonewa.
Weka dvd husika hapa dunia ifahamu mwenye haki na mwenye makosa.
Sasa badala ya kuleta evidence nyie mnakimbilia kusema "ohhh polisi wamevamia mhadhara kwa sababu eti nchimbi alikuwepo kisiwani na ni mkristo sasa kawatuma askari waje kuwapiga kwa sababu ya mlichoma makanisa before" are u serious kweli????
Hebu rudini jikoni kapikeni upya huu urojo ukiiva tutakula wote, kwa sasa ni mmbichi mno.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hao mapolisi hawawezi kufuata amri ya waziri wa muungano bila kupitia waziri wenu wa visiwani ambae ni muislam so hujamdanganya mtu try again.. Hamnaga kazi huko visiwani ndo maana mna mda wote wa kuandika pumba
 
another new movie begins...
kwanini msiseme waziri nchimbi naye alipokea order toka juu ya kuwatandika hao wasoma dua?? au kwa kuwa ni kafiri?
 
Back
Top Bottom