Waziri wa mambo ya ndani matatani. Dvd za polisi kupiga mtoto zanzibar zasambazwa

another new movie begins...
Kwanini msiseme waziri nchimbi naye alipokea order toka juu ya kuwatandika hao wasoma dua?? Au kwa kuwa ni kafiri?
nchimbi si unajua mkatoliki? Na huoni tawala za kikatoliki tz?
 
Olesaidimu Not that reporting such inhuman act is a bad thing, but linking it with religion is what i would rate as idiot and umasikini wa mawazo, how many times have the police done these ? Today you want us to believe that it is due to religion...not at all. nakataaaaaaaaaa

We are rocking the same boat mkuu...................what is dini if I may ask you???? Be it Christian or Muslim to name a few..................Humanity and dignity should be at the fore front......we are born humans then we acquire religions mkuu thats why i didnt care for that word ''dini''.....................could it be faith or belief my nerve would twitch but RELIGION.....no way...........same goes with POLITICS
 
Hii imekaa vibaya, hebu iwekeni vizuri.............ndugu yangu MCHAMBUZI kweli kaiona hii?...sijui...ila acha nijipitie tu.
 
​nawalaani uamsho lakini polisi kumpiga mtoto mdogo ni laana na sasa ile dvd ya ulimboka anayoeleza jinsi usalama wa taifa walivomtesa inaandaliwa ita kuwa mitaani very soon shame kwa serikali ya chinja chinja ya kikwete
Ibandikeni hapa tuone.
 
Waacheni Wafu wazikane wenyewe, UAMSHO + CCM + CCM B = MAFUKARA WA AKILI na KUFIKIRI
 
Tatizo ninaloliona hapa na polisi kuwa na mabomu mengi ya machozi ambayo yanakaribia ku-expire kwa kukosa kazi hivyo hawataki kupata hasara wanaona bora watafute chokochoko tu. Sasa mtu anamwagia maji ya kuwasha juu ya minazi, paa la nyumba wakati hakuna mtu huu si wendawazimu?

 
Last edited by a moderator:
Waziri Nchimbi HAWEZI kuingia matatani. Kwa lipi? Kwa kumpiga mtoto mmoja? how about wale zaidi ya 30 waliokufa Mbagala wakati mabomu yanadance?
 
Hizo dvd zingekuwa zimesambaa lazima mngekuwa mmeziweka hapa, mnaweza kuwa na hoja za msingi ila mnaziwasilisha kipuuzi alafu mnaishia kulalamika kuwa mnaonewa.
Weka dvd husika hapa dunia ifahamu mwenye haki na mwenye makosa.
Sasa badala ya kuleta evidence nyie mnakimbilia kusema "ohhh polisi wamevamia mhadhara kwa sababu eti nchimbi alikuwepo kisiwani na ni mkristo sasa kawatuma askari waje kuwapiga kwa sababu ya mlichoma makanisa before" are u serious kweli????
Hebu rudini jikoni kapikeni upya huu urojo ukiiva tutakula wote, kwa sasa ni mmbichi mno.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
dvd ndio tunaanza kuzitengeneza sasa hivi- kova style
 
dvd ndio tunaanza kuzitengeneza sasa hivi- kova style
Kutengeneza utube ni dakika 5, sikuona sababu ya hawa jamaa kuja kutangaza habari ambayo bado haijakamilika.
A bastard is a liar.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom