hayo sio matusi ndio ukweli chama cha chadema wana roho mbaya, wanasumbuliwa na udini na ukabila.
kabila gani? Dini gani?
hayo sio matusi ndio ukweli chama cha chadema wana roho mbaya, wanasumbuliwa na udini na ukabila.
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.
ritz umeongea kwa kuangalia hio report lakini hujaangalia uhalisia hebu niambie kama uliona vurugu za uchaguzi wa juzi kule pemba namna wafuasi wa cuf na ccm walivyopigana mimi binafsi niliangalia ch 10 jmosi usiku kipindi cha kutoka zanzibar ...sasa nini maana ya serikali ya muungano wakati wananchi wanapigana kivyama?Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.
hayo sio matusi ndio ukweli chama cha chadema wana roho mbaya, wanasumbuliwa na udini na ukabila.
hayo sio matusi ndio ukweli chama cha chadema wana roho mbaya, wanasumbuliwa na udini na ukabila.
Ukisoma haya matusi huwezi kuamini kama yametolewa na mtu mwenye akili timamu.
ritz umeongea kwa kuangalia hio report lakini hujaangalia uhalisia hebu niambie kama uliona vurugu za uchaguzi wa juzi kule pemba namna wafuasi wa cuf na ccm walivyopigana mimi binafsi niliangalia ch 10 jmosi usiku kipindi cha kutoka zanzibar ...sasa nini maana ya serikali ya muungano wakati wananchi wanapigana kivyama?
Molemo, mtu anaitwa duni unategemea nini toka kwake?
Mkuu Ritz tuwe wakweli,hivi kweli kiongozi unaweza kutumia lugha ya kihuni hivyo? Hebu weka siasa pembeni na irudie tena hiyo makala.
Kumbuka Dr Slaa, naye huwa anasima jukwaani na kusema hawawezi kufanya siasa na CUF kimsingi wameolewa na CCM wewe unategemea Duni naye akae kimya sababu nyie mnamuheshimu Dr Slaa...safari hii tutasikia mengi huyo Juma Duni mtamtambua kwenye siasa za maneno.
namuheshimu sana waziri duni lakini natofautiana nae tu pale anapo desplayed chuki yake kena CUF kwa chadema. Hapa ningemuheshimu kama angezungumzia watanzania bila kujali vyama vyao, hii inaniuzi sana na inapoteza heshima yake kwangu
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.
ukiona mtu anajadili dini au ukabila,huyo ni mtu aliyeishiwa hoja na aliyefirisika kichwani - J.K.Nyerere (kwa hiyo jitafakari tena mkuu)hayo sio matusi ndio ukweli chama cha chadema wana roho mbaya, wanasumbuliwa na udini na ukabila.
Asante mh. Duni; Chadema ni matapishi tu hayazuii watanzania kula mpunga wetu; wanafiki na wazandiki wapo Chadema; mh. Duni Chadema ikulu wataisoma Tanzania daima; wakitaka wajenge ikulu yao Arusha au Hai tutawapa michoro ya magogoni
Hakuna matusi yaani nyie kuwambia wameolewa sio matusi wakiwajibu ndio matusi, Chadema, na CUF endeleeni kupambana ndio mtaji wa CCM.
Sishangai kwani hata neno "dhaifu" tuliwahi kuambiwa kuwa ni tusi. Tena waliosema ni hawa wachangiaji humu humu!!
Sometimes siwaelewi watanzania! Kwa nini tumekuwa washabiki wa kila kitu?? Huu ushabiki una faida gani ambayo binafsi sijaifahamu?