Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
Asante mh. Duni; Chadema ni matapishi tu hayazuii watanzania kula mpunga wetu; wanafiki na wazandiki wapo Chadema; mh. Duni Chadema ikulu wataisoma Tanzania daima; wakitaka wajenge ikulu yao Arusha au Hai tutawapa michoro ya magogoni

CHADEMA oyeee
Ukiona makeke na makelele ya aina hiyo ujue message sent, mimacho imewatoka kama panya kanaswa na mtego,
Kama siyo CDM unadhani nani atakuwa Ikulu 2015, unaridhishwa na hivyo vilio vya CUF, wanaoipeleka ikulu CDM ni watanzania wanaojutaa kutawaliwa na CCM.
CCM mmeanza kujikomba kwa CUF msaidiwa kutengenezewa Propaganda kaaazi kwelikweli. Mbona tunajua sana mti wenye matunda safi ndio unaopigwa mawe.
CCM hoi, CuF choka mbaya, damu safi inflow kwa watawala wa 2015, kwa ajili ya Kuihuisha Tanzania mpya.

Unadhani ikulu ikiwa kyela ama Makorongoni itakuwa siyo Tanzania? kwani CCM pale magogoni mmeshauza nini? maana nyie kama alivyosema Nyerere mtauza mpaka magereza, yawezekana pameshauzwa, hubu tusubiri 2015 tuone.

CDM HIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, ikipeleka elimu ya uraia kwa wananchi, ikiwaonyesha na kuwazindua, kuwaondiolea woga uliodidimizwa vichwani mwao kama ngao ya kuwatawala. wala CDM hawana pressure wanajua uzee wa CCM tu huo, hata simba mzee huwa anamakelele mengi na mawindo kushnei.
Kweherini mafisadi, waTZ tunajua tunachostahili.
 
vyama vyote hvyo ukiondoa ccm na cuf hakuna chama kingine kimepata muakilishi sasa kwenye serikal ya umoja wa kitaifa vitaingiaje?
 
Mimi sioni matusi hapo kwani sitegemei maneno mengine zaidi ya hayo kutoka kwa watu wa CUF, ila nina swali;

Hii serikali ya Umoja wa Kitaahira, inatekeleza ilani ya chama gani kati ya CUF na CCM?
 
Nayakumbuka maneno ya Ismal Jussa baada ya CUF kumiminwa uchaguzi wa Uzini: "Kuanguka kwetu Uzini nilikutegemea, sababu Uzini ina wakristo wengi wamehamia kutoka bara"

Kweli CUF sio chama cha kidini. Jusa alikosea tu kidogo kutoa siri
 
hayo sio matusi ndio ukweli chama cha chadema wana roho mbaya, wanasumbuliwa na udini na ukabila.

"Vipi CHADEMA wao wajione watakatifu wanapopata uteuzi kwa rais wengine wawe wamekufuru, huu ni unafiki na uzandiki wa viongozi wanaotaka eti wapewe dhamana ya kuongoza nchi kwa akili kama za Panzi."

Kweli magamba mmefilisika, haya kwenu siyo matusi? hii ni taarabu ya pale Lumumba na Dodoma makao makuu ya chama yasiyokuwa na wakuu wa chama? kumbe ndiyo maana hii ndiyo lugha ya wah. mbunge Lusinde na Mwigulu.

Kwa nini Mh. Waziri wa serikali ya Umoja wa kitaifa analazimisha hoja kwa lugha za ghadhabu? hoja ni kwamba CUF ni CCM-B kwa kuwa mpo kwenye serikali ya umoja wa kitaifa kwamba nyinyi mnaendesha serikali pamoja katika kutekeleza sera za CCM, haijalishi kwamba mnajua sana matusi ama lugha za kejeli, ukweli huu hauna kificho mbona, sasa kuna haja gani ya jazba na hasira na matusi? waswahili walisha sema zamani kuwa "ndege wafafanao huruka pamoja" sasa Mh. Duni uongo uko wapi hapa?

Kwa kuongezea uCCM-B ni pale mlipoanza kuwaattack CHADEMA baada ya kuona wanachanja mbuga kama ambavyo CCM wanafanya, mwenye akili timamu atasemaje kama si kuwa zile nguvu mlizoziunganisha pale ZENJ ndizo hizo sasa zinahamia bara kuishambulia Chadema?

Pole sana Mh. Duni, Nchi hii ni ya watanzania sidhani kama Mh. Duni anao uwezo wa kuwasemea ni kiongozi yupi anaongea yapi kwa vile tuu hayakumfurahisha Mh. basi unaconclude kwamba watanzania hawawezi kuwapa dhamana ya kuongoza hii nchi, unajidanganya, watanzania wanakujua wewe Duni, na historia yako! wanaijua CUF na histotria yake na wanaijua CCM na historia yake, wanaouwezo wa kuchagua mchelena pumba wakaziweka pembeni.

Pole sana Mh. CDM wanajua hizo ni jazba za husda tuu, wao haooooo
 
asilimia 99.5% viongoz wa chadema ni wakristo tena ni mapadri na wachungaji hivyo chadema ni chama cha wakristo.Pia mashabik 99.9%ni makafir

Hiii naunga mkono hoja hapa jamvini 100% ya wanaopiga bla bla za CHADEMA ni Wakristo na ndio maana wengi wao hawataki kumsikia ZZK sababu tu ya IMANI yake
 
Nayakumbuka maneno ya Ismal Jussa baada ya CUF kumiminwa uchaguzi wa Uzini: "Kuanguka kwetu Uzini nilikutegemea, sababu Uzini ina wakristo wengi wamehamia kutoka bara"

Kweli CUF sio chama cha kidini. Jusa alikosea tu kidogo kutoa siri

Julius Mtatiro vipi huo hapo juu ndio msimamo wa chama chetu au? Maana hiyo kauli hapo juu ni kutoka kwa kiongozi mwandamizi
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom