Waziri wa Afya hajui Kiswahili vizuri

Lugha za mazoea/mtaani zina usumbufu na kero sana kwa mtu anayependa lugha itendewe haki.Kwa mfano kuna neno hospitali hutamkwa "sibitali" au "siptali".Mazoea yana tabu yake ila tusijitahidi kuzoea makosa ya dhahiri.
 
Back
Top Bottom