Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression (mgandamizo)
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi
Umeona?At least leo umekosoa kwa heshima....!!!!
Hukoseagi si kiswahili fasaha,ulipaswa kuandika 'Wewe huwa hukosei?'Wewe hukoseagi neno?
Kwa sasa hatutafuti kiswahili kwake. Tunataka atuletee mageuzi katika sekta ya afya. Haya mambo ya kuwa waswahili saaana hayatusaidii.Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression (mgandamizo)
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi
Kwani uwaziri unahusiana vipi na kutofahamu kiswahili vizuri? Wakati mwingine ndani ya jf kuna watu mbumbumbu sana!Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression (mgandamizo)
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi
Kwa sasa hatutafuti kiswahili kwake. Tunataka atuletee mageuzi katika sekta ya afya. Haya mambo ya kuwa waswahili saaana hayatusaidii.
Bado tuna safari ndefu sana kama taifa kwenye tasnia ya lugha yetu adhimu, kama kuna watu kama nyie ambao hamjui umuhimu na nguvu ya lugha sasa napata picha kwanini Kama taifa tumefika hapa tulipo! Ila sio kosa lenu ni makuzi mazoea na utumwa wa kifikra... Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole sanaKwani uwaziri unahusiana vipi na kutofahamu kiswahili vizuri? Wakati mwingine ndani ya jf kuna watu mbumbumbu sana!
Kakosea yeye na wewe pia, nilikuwa nakuchagiza tuu Soma hapa Kama lugha inapandaView attachment 315581View attachment 315582
Haya mapya. Kwa hiyo mwanasheria wamempa uwaziri wa Afya?Mdogo wangu Ummy Mwalimu ni Mwanasheria. Ana-act tu kuwa hajui Kiswahili. Si angetumia upasuaji badala ya kutaka kusema Operation? Ummy ana mambo sana.
Mzee Tupatupa
Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression (mgandamizo)
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi
Mimi huwa sijibizani na watu wa aina hiyo,nikiona hizo x x huwa napita kimya.Kukoxea au kukosea? Ndio wote nyie!! Soma vizuri nilichoandika alirudia zaidi ya mara tatu huko si kukosea ni kutojua
Aiseeee nimecheka kama sungura wanachezaAt least leo umekosoa kwa heshima....!!!!