Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,606
- 696,727
Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression (mgandamizo)
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi
Ingekuwa ni mara moja ningesema ulimi hauna mfupa kakosea lakini alirudia mara nyingi tuu
Tukumbuke huyu ni Waziri wa afya wa nchi