Na nyumba ya spika itagharimu shilingi milion 953,ametengewa kwenye bajetiiii
Ni kweli unachokisema?
Na nyumba ya spika itagharimu shilingi milion 953,ametengewa kwenye bajetiiii
Ni kweli unachokisema?
katika kuonyesha jinsi serikali isivyo na uchungu na pesa zetu,mawaziri saba wanaishi hotelini kwa muda wa miezi 7 sasa kutokana na kukosa nyumba za serikali
Watanzania naona tunakoelekea sipo kabisa, naona kama uzalindo umepotea kabisa.hili la kukaa hotelini kwa miezi saba wakati nyumba za serikali tumewauzia na wamepangishia wageni. hii haijakaa sawa. Wengine wananyumba zao nzuri tuu ila wanaziacha wanaamua kuja kukaa hotelini kisa ni waziri na serikali inalipa. kuna haja ya kuwa wazalendo kidogo, bila uzalendo hatutakaa tuendelee wataendelea kunafaika wachache. Kuna haja ya kuanza kufikiria kurudisha nyumba za serikali walizojiuzia(wizi mtupu). this one will not take long kabla serikali hajarealise kwamba kuna haja ya kuzirudisha zile nyumba...
katika kuonyesha jinsi serikali isivyo na uchungu na pesa zetu,mawaziri saba wanaishi hotelini kwa muda wa miezi 7 sasa kutokana na kukosa nyumba za serikali
......Tanzanian ......Tanzanian ......Tanzanian ......Tanzanian ......Tanzanian, ni kwa nini mnakuwa na fikra za mkato hivi!!!??? leo ni 2011 na wewe unadhani 2015 ni karibu hivyo!!?? Kila kitu si kitakua kimeisha!!??Tujifunze kutokana na makosa tusiwape tena 2015......akalime karafuu kwao huko
...Mkuu unachosema ni kweli kabisa...unanikumbusha kuna jamaa alisema hii nchi hata ukimchukua mbwa ukampa mafunzo vizuri kama wale wa ulaya wanaoweza kutumwa super market na wengine mpaka kuwaongoza njia mabosi wao vipofu basi hata hapa anaweza kufanya kazi vizuri tu!!...nadhani kuna tatizo kwa hawa watawala wetu!!:becky:sasa kwa nini waliuza nyumba zao za serikali hv unajua hii nchi siyo kabisa na muda wote huo walikuwa wanafanya nini kutokujenga nyumba za hao mawaziri upuuzi mtupu alafu tumekuwa ni watu wa kutoa lawama hapa jf tu badala ya kutoka tukaandamana kupinga ujinga huu
SO? :majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Na nyumba ya spika itagharimu shilingi milion 953,ametengewa kwenye bajetiiii
Tujifunze kutokana na makosa tusiwape tena 2015......akalime karafuu kwao huko
katika kuonyesha jinsi serikali isivyo na uchungu na pesa zetu,mawaziri saba wanaishi hotelini kwa muda wa miezi 7 sasa kutokana na kukosa nyumba za serikali
Mkulo kawaambia serikali ina pesa za kutosha nyie mkabisha sasa huu ndiyo ushahidi tosha.
Hebu nipige hesabu zangu za kitanzania
Dola 280 kwa siku - kwa mwezi ni Dola 8,400
Ukibadilisha kwa pesa za kitanzania kwa rate ya 1500 inakuwa 8,400 X 1500 = Tshs 12,600,000/= kwa mwezi
Nasikia amekaa miezi saba so far 12,600,000 X 7 = 88,200,000/=
Nasikia wapo mawaziri 7 lets take the same rate inakuwa 88,200,000 X 7 = 617,400,000/=
SI PESA NYINGI KWA NCHI KAMA TANZANIA teh teh teh ( According to MKULO)