katika kuonyesha jinsi serikali isivyo na uchungu na pesa zetu,mawaziri saba wanaishi hotelini kwa muda wa miezi 7 sasa kutokana na kukosa nyumba za serikali
muunguja anakula bata bara
muunguja anakula bata bara
sosi???
jamani mbona nchini kwetu tuna vionfozi wanao tumia miguu kuwaza amaunt yote hyo si ingenunua kiwanja salasala kari mbili 8mil itayo baki wabomoshe nyumba ya uweki .kwelo si walimbukeniHivi ni kweli Vuai Nahodha Hana Nyumba ya kuishi au ndo mbwembwe???
Kama hivo ndo mpango basi mpaka sasa imegharimu USD 58,800 na TSH 88,200,000/-
Asanteni sana kw kuvutia wawekezaji Tanzania.
nchi inaliwa na wageni, hii ni laana