Waziri Shamsi Vuai Nahodha anaishi New Africa Hotel $280 per day!

kwani serikali inashindwa kukodi apartments kwa ajili ya mawaziri? huu ni ubadhirifu. Lakini yote hayo ni kwa kuwa "tumewachagua wenyewe, tena kwa demokrasia" lets not make the same mistake again 2015.
 
ivi kuna ulazima gani kufanya kazi serikalini mpaka upewe na nyumba..... kama mtu analipwa mshahara serikali inajiingiza vp katika mzigo wa kujengea watu nyumba???? alafu mwisho wa cku anang'ang'ania auziwe alikua wapi mda wote asijenge!!!
 
Mh.6 kodi ya pango lake ni 12 million kwa mwezi..

Inashangaza sana..
 
Back
Top Bottom