Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
ccm oye

Ninguwa mimi JK kupunguza matumizi ya serikali kwanza ningefuta wakuu wa mikoa na wilaya wote, kisha nazipa halmashauri za miji nguvu kubwa za kiutawala. hapo ningeokoa ma billion ya
shillingi na kuyaelekeza kwenye huduma za kijamii kama madawa hospitali, vifaa vya kufundishia, marupurupu na mishahara ya walimu, madaktari na manesi pamoja na maji & umeme.

Hawa jamaa sioni wanafanya kazi gani kwa kweli - ni mzigo tu kwa mlipa kodil

Mkulo kawaambia serikali ina pesa za kutosha nyie mkabisha sasa huu ndiyo ushahidi tosha.

Hebu nipige hesabu zangu za kitanzania nione jumla yake itakuwa ngapi.

Dola 280 kwa siku - kwa mwezi ni Dola 8,400

Ukibadilisha kwa pesa za kitanzania kwa rate ya 1500 inakuwa 8,400 X 1500 = Tshs 12,600,000/= kwa mwezi

Nasikia amekaa miezi saba so far 12,600,000 X 7 = 88,200,000/=

Nasikia wapo mawaziri 7 lets take the same rate inakuwa 88,200,000 X 7 = 617,400,000/=

SI PESA NYINGI KWA NCHI KAMA TANZANIA teh teh teh ( According to MKULO)
......Tanzanian ......Tanzanian ......Tanzanian ......Tanzanian ......Tanzanian, ni kwa nini mnakuwa na fikra za mkato hivi!!!??? leo ni 2011 na wewe unadhani 2015 ni karibu hivyo!!?? Kila kitu si kitakua kimeisha!!??
Kwenye Maandiko wanasema siku moja ni sawa na miaka 1,000 kwa Mungu, wewe miaka minne na nusu iliyobaki unaifanya kama siku moja? ...subiri na utavuna magunzi!
sasa unafikiri ataenda kukaa kwenye ile nyumba aliyojengewa sitta?
..oyeeee!! ...na Mbowe, Zitto ....hata na Dr. wa ukweli wote wakamatwe na wafutiwe dhamana walale central(mahabusu) na Vuai alale New Africa!! ..au siyoooo?ccm oye
Wewe bisha sasa hivi lakini nakuhakikishia miaka 80-120 ijayo hili nalo litajumuishwa kwenye maajabu ya dunia (kama ilivyo Serengeti na Ngorongoro). Si unajua watu waliishi ngorongoro miaka mingi bila kujua kuwa it was among the Wonders of the World!katika kuonyesha jinsi serikali isivyo na uchungu na pesa zetu,mawaziri saba wanaishi hotelini kwa muda wa miezi 7 sasa kutokana na kukosa nyumba za serikali
Mnamulaumu Magufuli buure,yeye alikuwa kama kiranja tu ambaye alitumwa na headmaster kutekeleza wajibu,hivi ungekuwa ni wewe mkuu wako wa kazi anakwambia fanya hivi wewe ungekataa ,na hasa mkuu mwenyewe akiwa haambiliki ,acha kaka Ben akisema ilikuwa ni directive,hakuna majadiliano,tusilaumu jumbe kufikisha mzigo laumu aliyemtuma huo mzigo,mawaziri mnaokaa kwenye hoteli za nyota 5 kwa siku pamoja na familia zenu HOYEEEEEEMagufuri(Dalali wa Nyumba za serikali) oyeeeee!