TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

Nimepata picha ya eneo la tukio, kwa kweli inasikitisha sana. Sijui kama kuiweka hapa itakuwa sawasawa kwani sehemu ya mwili wa Marehemu inaonekana.
 
Haitishi sana.. na magazeti wataitumia, kwa hiyo ili watu waone ukubwa wa ajali ni vyema ukaiweka
 
ngoja nipate consensus kidogo kabla sijawa fisadi mkubwa zaidi ya nilivyo. baada ya nusu saa hivi nitaiweka.
 
ohhh1 mungu azilaze mahali pema peponi. pia ninawashukuru lunyungu na mwanakijiji kwa habari hizi.
 
Mwanakijiji tuwekee Picha hiyo Mheshimiwa.

Mama Salome Joseph Mbatia aliwazaliwa 17/June/1952 na alikuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Wanawake na Watoto pia alikuwa Mjumbe wa NEC,Na ni Mbunge wa Kuteuliwa.Ana Elimu ya Shahada ya Uzamili kwenye Uongozi.
 
...duuu masikini ..he was a very nice and potential lady....jamani ,..HIZI SAFARI ZA KUPITA MIKOANI KUMALIZA KIRUSI CHA WAPINZANI NI KIBARUA KIZITO....nilikuwa naongea na muhashimiwa mmoja kabla ya hizi ziara akaniambia inabidi kuwaombea sana maana mizunguko ya mokoani ni migumu na barabara ni mbaya...

PM kwanini uchanganye kifo na siasa mkuu ! just give it a break.
 
Acheni utoto kama next of kin ana taarifa hizi basi kila kitu kilichobaki ni fair ili mradi huitandei haki maiti.......c'mom this is black and white bro, weka hapa or don't na sio stories kama kawa!!!!!.
 
Mkuu tuwekee hiyo picha tafadhali unajua sisi wengine tuliko huku ni usiku mkali, unajua hii JF inatunganisha watz Dunia nzima
 
hizi ajali za barabarani kwa nini kwetu tu??
haya sasa tumempoteza waziri wetu mama Mbatia. Mungu amlaze pema

Chenge ajiuzulu kashindwa miundombinu. Tuna madini kibao kwa nini hatuna japo double lane kuunga mikoa???

Inauma sana mpaka inabidi kusema ovyo sasa
 
Mbatia , Salome J.
GENERAL

--------------------------------------------------------------------------------
ID No.: MEMBER'S PICTURE
Salutation:
First Name:
Middle Name:
Last Name:
Member Type:
Constituent:
Political Party:
Office Location:
Office Phone:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Start Date:
End Date:
Date of Birth

--------------------------------------------------------------------------------
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Eastern & Southern Africa Management Institute Certificate in Management 1993 1993 CERTIFICATE
RVB Institute , Delft- Holland Post Graduate Diploma(Admin.&Management) 1987 1987 POSTGRADUTE
ADL Management Institute -USA MSc. in Management 1982 1983 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BA. (General)Hons. 1973 1976 GRADUATE
Korogwe Girls' High School A-Level Education 1971 1972 HIGH SCHOOL
ST. Joseph's Secondary School Secondary Education 1967 1970 SECONDARY
Msimbazi Primary School Primary Education 1965 1966 PRIMARY
St. Theresia Primary School Primary Education 1963 1964 PRIMARY
St. Ann Primary School Primary Education 1959 1962 PRIMARY

--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list

--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Biashara Consumer Services Co. Ltd. General Manager 1990 2000
Biashara Consumer Services Co. Ltd. Marketing Manager 1979 1989
Board of Internal Trade District Sales Manager 1978 1979
Board of Internal Trade Marketing Manager 1977 1978
Board of Internal Trade Management Trainee 1976 1977
Ministry of Community Development, Gender and Children Deputy Minister 10/17/2006
Ministry of Planning, Economy & Empowerment Deputy Minister 1/1/2006 10/16/2006

--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM National Executive Committee Member 2002 2005
Chama Cha Mapinduzi - CCM The Central Committee Member & National Treasurer 2002 2005
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2000 2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of UWT National Council 1998 2005



PUBLICATIONS
Description
Published Date
No items on list

--------------------------------------------------------------------------------
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
 
Mwanakijiji Muda Ushafika,si Wengine Tuko Mataifa Ya Mbali(australia)na Ni Usiku Ile Mbaya,yani Niko Macho Kwa Ajili Ya Hiyo Picha,plizz Tuweke Katika Consideration Wengine Tulio Mataifa Ya Mbali
 
Back
Top Bottom