TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

Nyuma ya gari la Mbatia kulikua na gari la Zitto na nyuma ya gari la Zitto kulikua na gari la Naibu waziri David Mathayo... Zitto ndiye aliyebeba majeruhi wa gari lory bila kujua waliokuamo katika NISAN ni kina nani..
 
Mhhhhhh... Sasa hapa...! Ni kweli (kwa wale ambao walikuwa wanahitaji uthibitisho) kwamba haya yametokea lakini info za Halisi zimenishtua
 
JF kiboko! Yaani tunapata za jikoni ingawa tumo hapa hapa mjini! Yaani hii hata Ikulu bado haijatoka (Salva vipi?)

Poleni familia ya wafiwa. Its so sad kwamba ajali zinatumaliza kwa sababu ya utekelezaji hafifu wa sheria zetu.
 
Watanzania na kila binadamu huwa hana fuaha pale roho ya mwenzake inapotoka hata kama kuna chuki za kisiasa ama ushindani wa aina gani . This is a tragedy na hivyo ni kumuombea yule Mama na wenzake .Ajali yaweza kumkuta yeyote. Mahapa pekee nimeona maajabu ni juzi kule Musoma baada ya mwana CUF kufa na Serikali kumwaga FFU Musoma njia nzima na kuwatisha waombolezaji.Hili hadi sasa nalishangaa lakiniu daima sisi ni wanyonge na wenye huzuni mtu akipoteza maisha .

Again kuna viji Lunyungu kila kona ya Dunia na napenda kusema habari hii ni ya kweli ila vyombo vyetu vya habari viko nyuma kwa mambo ya maana ila ushabiki vinakuwa mbele. Nina mtafuta OC CID wa Njombe Mr.Karega aseme zaidi lakini sijampata .Mwanakijiji kule Njombe unaweza kusema na OC CID na nama zake ni0784 614402 au 0762 044665
 
...duuu masikini ..she was a very nice and potential lady....jamani ,..HIZI SAFARI ZA KUPITA MIKOANI KUMALIZA KIRUSI CHA WAPINZANI NI KIBARUA KIZITO....nilikuwa naongea na muhashimiwa mmoja kabla ya hizi ziara akaniambia inabidi kuwaombea sana maana mizunguko ya mokoani ni migumu na barabara ni mbaya...
 
Habari Mbaya na zinashtua mno!Poleni wafiwa na Mwenyezi Mungu awape nafuu wote walioumia!
 
Nyuma ya gari la Mbatia kulikua na gari la Zitto na nyuma ya gari la Zitto kulikua na gari la Naibu waziri David Mathayo... Zitto ndiye aliyebeba majeruhi wa gari lory bila kujua waliokuamo katika NISAN ni kina nani..

Duh Hii sasa inaleta ??? kibao...Mkuu Halisi unawezaa kudadavua zaidi?
 
Oh man!!! walikuwa wote kwenye msafara mmoja?

Kila mtu alikua na safari zake na Mbatia alikua ktk private car, inawezekana katika mambo ya kampeni za NEC ama kazi maalumu na Zitto anakwenda Songea katika kampeni za Udiwani, huyo David Mathayo haijulikani safari gani lakini hakuna aliyekua akijua safari ya mwenzake, kwani Zitto alibeba majeruhi wa Lory baada ya kuona kwamba gari ndogo hakuna uhai, bila kujua waliomo, akapigiwa simu toka daar kwamba kuna ajali na Mbatia amefariki, akauliza ni wapi ndipo akajua ohoo, ndipo alipokua
 
Ndiyo nimeongea na Zitto akiwa katika eneo la ajali .Ame sound kwenye huzuni kubwa baada ya kujua ndugu Salome Mbatia kaaga Dunia katika ile ajali .
 
1. Hili zimwi la ajali kwa vingozi hii awamu ya JK sasa imezidi. Why katika hii awamu ajali zimezidi? Sijafanya uchunguzi ...sioni kama kiwango cha ajali kwa viongozi wakati wa BMW na AHM kilikuwa kikubwa hivi. Kulikoni? Serikali inahitaji maombi maalum over ajali hizi?

2. Nawapeni pole wafiwa- Mungu awatie nguvu wakati huu wa majonzi!
 
Si ajali kwa viongozi, ni ajali kwa ujumla zimezidi na kadhaa zimekuwa zikisababishwa na hayo malori. Kuna haja ya kuangalia upia policy zetu za usafiri na usafirshaji. Tunawapa pole wote waliopatwa na msiba huu!
 
habari za uhakika mbatia alikuwa katika kampeni za uchaguzi mkuu unaokuja wa ccm,na ndo mana akaacha na gari yake
 
Back
Top Bottom